lady Jay
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 529
- 655
Asantezari ni very strong kwakweli..amedhalilishwa vya kutosha kisa mali....anasemwa ye ndo anamezea mate urithi..kumbe wapo wengi wanafki wasiochoka kunyooshea vidole wenzao
huyo mjomba hana haya wala hiyana kuomba eti watoto wakapimwe DNA kisa mali za marehemu!??
haoni kama anamdhalilisha zari mbele ya watu?
hivi ivan angekuwa hai angeweza kuongea hili?
miaka yote hiyo kama mjomba anamuona kabisa ivan anazaa watoto akiwa kwenye ndoa na zari..ivan yupo very proud na wanae na anakuwa responsible father..leo unasisitiza dna eti tujue if they are ivans blood kids or not...na majibu mkienda kufanya rafu zenu mkaja kuonyesha sio watoto wa ivan nini kinafuatia?
mroho wa mali ni ndugu wa ivan au zari??
acheni unafki