Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi niliiona hiyo nikajaribu kumpigia Chibu simu yake ilikuwa bize lengo nimwambie haone alichojisifia" matobo" jukwaani huko Ug, eti yeye ni mwandishi wa nyimbo za Diamond na pia ni producer wake hadi hako kadada kakawa kanamuuliza kama kweli alichokisema jukwaani ni sawa au
Nakenyewe kanataka lifti ya bifu ili katoboe si unaona kalipata ujiko hadi kaling'oa hako kademu hapo, unadhani kumwandikia na kuwa producer wa DIAMOND ni jambo dogoJamaa anataka kuingiza siasa kwenye mziki!!
Aisee kama ni kweli basi hizi lifti zinatafutwa kwa mbinu za kila aina.Hata mimi niliiona hiyo nikajaribu kumpigia Chibu simu yake ilikuwa bize lengo nimwambie haone alichojisifia" matobo" jukwaani huko Ug, eti yeye ni mwandishi wa nyimbo za Diamond na pia ni producer wake hadi hako kadada kakawa kanamuuliza kama kweli alichokisema jukwaani ni sawa au
Naona siku hizi hawapatani na diamond sijui kulitokea Nini
Nasikia aliisifia sana video ya Ali Kiba, 'Chekecha Cheketua', sijui kama hili kina ukweli...
Naona siku hizi hawapatani na diamond sijui kulitokea Nini
Ngoja niitafute hiyo Clip..
No sijaipata ukienda you tube ukaandika Ommy dimpoz in Uganda utaku tana na show aliyo fanya hata kabla ya kutumbuiza aliongea kidogo lakini alicho kiongea si kile kinachosemwa hapa na wala hakuongea muda mrefu au labda aliongea baada ya kutumbuiza! Clip iliyopo aioneshi yaliyo andikwa humu!Hujaipata Lawyer