Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen.!
Naona kumekuwa na mjadala wa vuta nikuvute kwa pande mbili hasa kwenye muelekeo wa kidini zaidi .
Mwelekeo huu ukihusu zaidi waarabu na wazungu na kujikuta tukikaa makundi ya ukristo na uislamu.!
Hii haifai wakuu lazima tuwe neutral na tujadili ukweli sio kuruka ruka na kujivutia kwake kwa kila mtu .
Sasa utumwa ambao waafrica tume experience kwa centuries nyingi sana na kutuachia makovu mengi kwa babu zetu je chanzo walikuwa waarabu au wazungu? Hebu twendeni taratibu huku tukigusa Kate Kate. Well.
WAZUNGU (PORTUGAL NA BRITAIN).
Kwanza tunatakiwa kujua utumwa ulikuwepo Africa kabla hata ya hawa mabwana kufika huku.!
Hawa ndiyo tunaweza kusema walikuwa vinara wa biashara hii kwa kiasi kikubwa yaani ile trans Atlantic slave trade ambayo ilihusisha mabara matatu yaani Africa, Europe, America (ukijumlisha na South america).
Pembe zile za ndovu, gold na vitu vingine kama ngozj na watumwa ndiyo viliwavutia mabwana hawa kuja West Africa kufanya biashara .
The worst of all ni kuwa machief wetu ndiyo walikuwa wanatuuza!
Ingawaje walikuwa wakipewa European finished goods kama pombe,bunduki,nguo,na urembo, wao walitoa vitu tajwa hapo juu.
Ingawa daima hawakuuza watumwa ndani ya jamii yao bali wale mateka wa vitani wanapokwenda kupigana na jamii nyingine mfano Mansa kankan musa wa Mali ndiye alikuwa Kinara mkubwa wa mambo haya na kupata utajiri mkubwa sana.
Britain ndiye kinara wa biashara hii kuliko nchi zote duniani! Ndiyo .
Kati ya mwaka 1602 to 1807. Karibu watumwa milioni 12 walikuwa wanapelekwa America kila mwaka! Idadi hii imebase zaidi West Africa katika nchi hizi Angola ikiongoza, Congo, Senegal, Ivory Coast, Guinea nk.
Faida hii ilienda katika miji ya London, Bristol and Liverpool ambapo ndiyo hasa vilikuwa vituo vikuu vya wafanyabiashara .
JE SAFARI ILIKUWAJE KUWAJE? (THE MIDDLE PASSAGE)
Kwanza tutambue safari haikuwa rahisi hata kidogo kwa watumwa ndani ya meli mpaka kufika america!
Safari ndani ya meli ilikuwa ngumu kwani watumwa walijazwa kwenye meli karibu kila sehemu na kubanana kiasi kwamba inakua ngumu mtu wa pembeni kujigeuza hata upande! Iliaminika kwamba ma captain wa melini walijua wazi njiani watumwa wengi watakufa na kuwatosa Baharini hivyo angalau watabaki na wengi ili kufidia faida hivyo walijaza wengi zaidi ..
Wengi wao walijikolea hapo hapo na hata kujisaidia hapo hapo! Hali hii ilipelekea uchafu na magonjwa kuzaliwa humo ikiwemo kipindupindu na watumwa kufa kama nzige!
Wengine walikufa kwa kihoro na wengine waligoma kula ili wafe na wengine pia walikufa kwa majeraha.!
Kama ambavo ushahidi ufuatao ulitolewa na aliyewahi kuwa mtumwa bwana oloudah equiano aliyetekwa mwaka 1775 akiwa na miaka kumi pekee kwao Nigeria na kuuzwa alianza kwanza kuishi West indies then akaenda Virginia na baadaye akauzwa kwa bwana mmoja mwanajeshi wa jeshi la majini,
Ambaye akawa anasafiri naye mara kwa mara melini na kumfanya mtumwa wake, inasemekana oloudah aligeuzwq mke halali wa bwana huyo ndipo akajifunza kusoma na kuandika na hatimaye kununua uhuru wake kwa pesa zake alizokuwa anasave kama ifuatavyo kutoka kwenye autobiography yake mwenyewe.
"One day when all our people were gone out to their works as usual, and only I and my dear sister were left to mind the house, two men and a woman got over our walls, and in a moment seized us both; and, without giving us time to to cry out, … they … ran off with us into the nearest wood. Here they tied our hands and continued to carry us as far as they could …
The next day proved of greater sorrow … yet … for my sister and I were then separated … it was in vain that we besought them not to part us; she was torn from me, and immediately carried away, while I was left in a state of distraction not to be described.”
Pia bwana mwengine bwana John jea alizaliwa Nigeria kule old collabar ambaye baadaye alibadili dini na kubatizwa ameandika kama ifuatvyo.
"I ,John Jea, … was born in the town of Old Callabar, in Africa, in the year 1773. My father’s name was Hambleton Robert Jea, my mother’s name Margaret Jea. They were of poor but industrious parents. At two years and a half old, I and my father, mother, brothers, and sisters, were stolen, and conveyed to North America, and sold for slaves.”
Pia a former slave Gran carina anathibitisha.
"Muh gran Calina tell me how he got heah. He say he playin on beach in Africa, an big boat neah duh beach. He say, duh mens on boat take down flag, an put up big piece uh red flannel, an all chillun dey git close tuh watuh edge tuh see flannel an see whut doin. Den duh mens comes off boat an ketch um, an wen duh ole folks come in frum duh fiels dey ain no chillun in village. Dey’s all on boat. Den dey brings um yuh.
They sold us for money, and I myself was sold six times over, sometimes for money, sometimes for a gun, sometimes for cloth … It was about half a year from the time I was taken before I saw white people.”.
pia ndani ya meli wanaume waliwekwa deck ya chini kabisa na wanawake kuachwa juu kuwaburudisha mabaharia na wengineo walipewa mimba sana humo ndani ya meli..
MAISHA BAADA YA KUFIKA AMERICA?.
Baada ya kufika American maisha yalikuwa mabaya zaidi na zaidi....
Twende taratibu..