Under 20 Forum

Sikizen wadogo zangu hekima NA busara za yeyote yule ni kuwa karib na yule ambaye siku zote atajifunza kutoka kwake hasa kwa walio wakubwa zenu,
So sion busara sana za ninyi kuja kujazana ujinga mkidhan tutawaangalia tu,not that extent(In mkulu's voice)

Kaeni na wakubwa you will always learn one or two.
 
Mi sitaki under 18 maana.miaka 30 jela si ya kitoto
Nataka 19 and 20 ....tuyaruke magoma
 
Halafu cha ajabu Kila replier ni 20+!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni jamani!!! Msijitenge sasa... Ndo mtakavyopata experience.... Ata huyo wa miaka 35 kuna siku alikua under 20
Tatizo mmezidi kuwanyanyapaa watoto wa wenzenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…