Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha uogaAaah wapi anivizie wakati nimeinama kung'oa magugu? Hapana kwa kweli nitamshukuru na kuondoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha uogaAaah wapi anivizie wakati nimeinama kung'oa magugu? Hapana kwa kweli nitamshukuru na kuondoka
[emoji3][emoji3][emoji3]acha nikajifunze ujasiri nitarudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha uoga
[emoji23] [emoji23]hao watu kila tukiomba ushauri wanatuambia ngojeni shule zifungue wanatunyanyapaa sana.
Ahahahaha!!!msuli tembo tokeo sisimiziwazee wa kutoboa misuli loli matokeo bajaji.
[emoji28][emoji28][emoji28]Ntakuwa nachungulia humu kidooogo kujua mnacho discuss wadogo zangu....teh
kama mimiUongo mbaya nazengea huu uzi tangu unaanzishwa nione under 20 binti ila patupu.
Jamani mnikumbuke
Halafu mkuu hilo jina lako (ney) nkahisi binti. Samahani lakinihamjambo
ni neykush sio ney sawa mdogo etuHalafu mkuu hilo jina lako (ney) nkahisi binti. Samahani lakini
Hehe mbona ID inaonekana iko separate mkuu. Usijari mzee just to knowni neykush sio ney sawa mdogo etu
Tatizo mmezidi kuwanyanyapaa watoto wa wenzenu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni jamani!!! Msijitenge sasa... Ndo mtakavyopata experience.... Ata huyo wa miaka 35 kuna siku alikua under 20
Una akili umekimbilia _20!!we nomaha haha mkuu usijali we komaa nasi tu ndiyo kujifunza .. usiogope kusemwa atii ndiyo maisha