Under value food crops ambazo zinaweza kuwa ni biashara kubwa sana

Under value food crops ambazo zinaweza kuwa ni biashara kubwa sana

Hapo kwenye viazi vitamu labda uwe na soko la uhakika ama sivyo havikawii kuoza. Au kutafuta namna ya kuviongezea thamani kama vile kusindika, kutengeneza unga lishe nk.

Tatizo kubwa la wakulima wengi sio wabunifu. Na wengi wao wanategemea kilimo cha msimu na matokeo yake bidhaa inakosa thamani kutokana na kuwa nyingi sokoni kwa wakati mmoja!
Yes
 
Umesema vizuri. Kumekuwa na mwamko kuhusu utumiaji wa viazi lishe. Kama unalima eneo kubwa. Vile vikubwa utauza vidogo unaweza kutengeneza bidhaa mbali mbali
Viazi unalima kwa kuachanisha yaani ina supply mwaka mzima, unacho fanya nikuachanisha kuwa na interval
 
Hapo kwenye viazi vitamu labda uwe na soko la uhakika ama sivyo havikawii kuoza. Au kutafuta namna ya kuviongezea thamani kama vile kusindika, kutengeneza unga lishe nk.

Tatizo kubwa la wakulima wengi sio wabunifu. Na wengi wao wanategemea kilimo cha msimu na matokeo yake bidhaa inakosa thamani kutokana na kuwa nyingi sokoni kwa wakati mmoja!
Ndio Traditional Farming yetu, mambo ya msimu, sasa wewe ukiona wenzako ndio wameingiza sokoni wakati huo unapumzisha shamba kuliandaa na msimu ambao wao watakuwa wamelala
 
Moja ya shida ya Watanzania na kwa ninu wanapigwa ni kwa sababu hawataki kufanya kulima kilimo endelevu, Wanavutwa na price ikishuka wanakimbia, Ila zao kama Mchai chai bado sioni sjida yake kwa sababu hata gharama za kutunza mchaichia nazani ziko chini sana na ukiotesha mara moja ndio kazi kwisha wewe ni kuvuna tu, so sioni Tatizo,
Kweli kama nilivyokua namweleza mkuu hapo !! Watu wanataka wakiingia kwenye kilimo akutane na maajabu aliyokua akisikia kumbe ni lazima uwe na mikakati !!
 
Maboga ni vile watu hawajashutuka, yale maeneo yote yanayo pata mvua kidogo watu wangejuw wanalima.maboga yangewasaidia sana kwenye swala la njaaa, Maboga ni chakula pia kinacho weza okoa binadamu na.mifugo wakati wa njaaa na uhaba wa chakula. Shida watu wamekomaa na traditional crops tupu ambazo zinawapiga chini kila mwaka,
mifugo Gani hio inakula maboga😕
 
Hakuna cha Mihemuko, kinacho paswa kuangaliwa kwenye Kilimo sio Markrt price bali cost of Production, Mchai chai mfabi ukiotesha mara 1 ndio kazi kwisha wewe ni kuvuna miaka na miaka, kuna shida gani hata ukikuta bei iko chini sana?
kalime na wewe mchaichai
 
Sifurahishi baraza mzee, nalima hivyo viazi vitamu, nazungumza ninachokijua.
Wewe unalima wakati wa mvua na unavuna wakati kila mtu anavuna mnakutana sokoni kujaza soko traditional Farming,Lima kisasa mimi nazungumzia kilima hata kwa irigation hasa wakati wa kiangazi, kama wakati huu,
 
mifugo Gani hio inakula maboga[emoji53]
Unafuga? Nguruwe wanakula sana na Ng'ombe pia, hii inawasaidia wakati wa akiangazi au ukame, wakati wa ukame kinacho angaliwa ni kiumbe hai kisurvive, so Maboga yanasaidia sana
 
Sifurahishi baraza mzee, nalima hivyo viazi vitamu, nazungumza ninachokijua.
Nazungumzia kulima kama zao la biashara,
images(51).jpg
 
Mnapoteaga njia, sidhani kama humu ni pahala penu
shida hampendi kuambiwa ukweli...halafu acheni kudanganya wakulima huwezi kuwa na akili timamu ukamshauri mkulima alime mchaichai au mazao yasiyo na uhitaji wa lazima na kulima vitu kama rusela labda kama unataka kumuzia mbegu na kumgeuza fursa
 
Wewe unalima wakati wa mvua na unavuna wakati kila mtu anavuna mnakutana sokoni kujaza soko traditional Farming,Lima kisasa mimi nazungumzia kilima hata kwa irigation hasa wakati wa kiangazi, kama wakati huu,
Nimekusoma, gharama yake hapo si mchezo.
 
Mawazo mazuri mkuu, nataka niandae shamba la Rossela naona pia inalimwa kwa msimu wakati bei yake sokoni imechangamka !!!

Vizuri mkuu. Kuna mwenzake anaitwa passion nalo pia ni tunda muhimu kwa kutengeneza juice.
 
Ndio ndugu. Hata wasukuma wanakausha wanauta mapalage kama sijakosea. Viazi vinaweza kuhifadhiwa vyema.
 
Back
Top Bottom