CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #21
Zote hizo hakuna mahali watu wanalima Comercialy, bali unakuta ni bustani za Rossela tuMawazo mazuri mkuu, nataka niandae shamba la Rossela naona pia inalimwa kwa msimu wakati bei yake sokoni imechangamka !!!
YesHapo kwenye viazi vitamu labda uwe na soko la uhakika ama sivyo havikawii kuoza. Au kutafuta namna ya kuviongezea thamani kama vile kusindika, kutengeneza unga lishe nk.
Tatizo kubwa la wakulima wengi sio wabunifu. Na wengi wao wanategemea kilimo cha msimu na matokeo yake bidhaa inakosa thamani kutokana na kuwa nyingi sokoni kwa wakati mmoja!
Viazi unalima kwa kuachanisha yaani ina supply mwaka mzima, unacho fanya nikuachanisha kuwa na intervalUmesema vizuri. Kumekuwa na mwamko kuhusu utumiaji wa viazi lishe. Kama unalima eneo kubwa. Vile vikubwa utauza vidogo unaweza kutengeneza bidhaa mbali mbali
Ndio Traditional Farming yetu, mambo ya msimu, sasa wewe ukiona wenzako ndio wameingiza sokoni wakati huo unapumzisha shamba kuliandaa na msimu ambao wao watakuwa wamelalaHapo kwenye viazi vitamu labda uwe na soko la uhakika ama sivyo havikawii kuoza. Au kutafuta namna ya kuviongezea thamani kama vile kusindika, kutengeneza unga lishe nk.
Tatizo kubwa la wakulima wengi sio wabunifu. Na wengi wao wanategemea kilimo cha msimu na matokeo yake bidhaa inakosa thamani kutokana na kuwa nyingi sokoni kwa wakati mmoja!
Nafaka na Baadhi ya mazao ya Bustani !unalima mazao ya nafaka
Kweli kabisa mkuu !!Zote hizo hakuna mahali watu wanalima Comercialy, bali unakuta ni bustani za Rossela tu
Kweli kama nilivyokua namweleza mkuu hapo !! Watu wanataka wakiingia kwenye kilimo akutane na maajabu aliyokua akisikia kumbe ni lazima uwe na mikakati !!Moja ya shida ya Watanzania na kwa ninu wanapigwa ni kwa sababu hawataki kufanya kulima kilimo endelevu, Wanavutwa na price ikishuka wanakimbia, Ila zao kama Mchai chai bado sioni sjida yake kwa sababu hata gharama za kutunza mchaichia nazani ziko chini sana na ukiotesha mara moja ndio kazi kwisha wewe ni kuvuna tu, so sioni Tatizo,
mifugo Gani hio inakula maboga😕Maboga ni vile watu hawajashutuka, yale maeneo yote yanayo pata mvua kidogo watu wangejuw wanalima.maboga yangewasaidia sana kwenye swala la njaaa, Maboga ni chakula pia kinacho weza okoa binadamu na.mifugo wakati wa njaaa na uhaba wa chakula. Shida watu wamekomaa na traditional crops tupu ambazo zinawapiga chini kila mwaka,
kalime na wewe mchaichaiHakuna cha Mihemuko, kinacho paswa kuangaliwa kwenye Kilimo sio Markrt price bali cost of Production, Mchai chai mfabi ukiotesha mara 1 ndio kazi kwisha wewe ni kuvuna miaka na miaka, kuna shida gani hata ukikuta bei iko chini sana?
Sifurahishi baraza mzee, nalima hivyo viazi vitamu, nazungumza ninachokijua.Kinacho kupeleka Shambani kula ni bei? Ukiona Bei ni Million 1 ndio unaingia shambani kulima?
Wewe unalima wakati wa mvua na unavuna wakati kila mtu anavuna mnakutana sokoni kujaza soko traditional Farming,Lima kisasa mimi nazungumzia kilima hata kwa irigation hasa wakati wa kiangazi, kama wakati huu,Sifurahishi baraza mzee, nalima hivyo viazi vitamu, nazungumza ninachokijua.
Mnapoteaga njia, sidhani kama humu ni pahala penukalime na wewe mchaichai
Unafuga? Nguruwe wanakula sana na Ng'ombe pia, hii inawasaidia wakati wa akiangazi au ukame, wakati wa ukame kinacho angaliwa ni kiumbe hai kisurvive, so Maboga yanasaidia sanamifugo Gani hio inakula maboga[emoji53]
Nazungumzia kulima kama zao la biashara,Sifurahishi baraza mzee, nalima hivyo viazi vitamu, nazungumza ninachokijua.
shida hampendi kuambiwa ukweli...halafu acheni kudanganya wakulima huwezi kuwa na akili timamu ukamshauri mkulima alime mchaichai au mazao yasiyo na uhitaji wa lazima na kulima vitu kama rusela labda kama unataka kumuzia mbegu na kumgeuza fursaMnapoteaga njia, sidhani kama humu ni pahala penu
Nimekusoma, gharama yake hapo si mchezo.Wewe unalima wakati wa mvua na unavuna wakati kila mtu anavuna mnakutana sokoni kujaza soko traditional Farming,Lima kisasa mimi nazungumzia kilima hata kwa irigation hasa wakati wa kiangazi, kama wakati huu,
Mawazo mazuri mkuu, nataka niandae shamba la Rossela naona pia inalimwa kwa msimu wakati bei yake sokoni imechangamka !!!
NAKAZIATatizo kubwa la wakulima wengi sio wabunifu. Na wengi wao wanategemea kilimo cha msimu na matokeo yake bidhaa inakosa thamani kutokana na kuwa nyingi sokoni kwa wakati mmoja!
Ufilipino wanakausha Kama wanavyokausha maembe mabichiUmesema vizuri. Kumekuwa na mwamko kuhusu utumiaji wa viazi lishe. Kama unalima eneo kubwa. Vile vikubwa utauza vidogo unaweza kutengeneza bidhaa mbali mbali