Certificates, Diploma zinaitwa Continuing education ila degree inaitwa undergraduates studies pia post graduates inafanywa muda mfupi baada ya kumaliza masomo ya shahada ya kwanza yaani degree ina maana postgraduates inaanzia masters, PHD n.k
Kwa hiyo kuna Continuing education ya certificates, undergraduates ya degree na postgraduates ya masters, PHD. Maana post kwa kiswahili inamaanisha baada ya.
Mimi najua hivyo tu mkuu.
ww upo sahh
Ok, sawa vipi kuhusu elim ya juu ni ipi?
Certificates, Diploma zinaitwa Continuing education ila degree inaitwa undergraduates studies pia post graduates inafanywa muda mfupi baada ya kumaliza masomo ya shahada ya kwanza yaani degree ina maana postgraduates inaanzia masters, PHD n.k
Kwa hiyo kuna Continuing education ya certificates, undergraduates ya degree na postgraduates ya masters, PHD. Maana post kwa kiswahili inamaanisha baada ya.
Mimi najua hivyo tu mkuu.
certificate,diploma na bachelor zote kwa pamoja ni undergraduate.postgraduate inaanzia postgraduate diploma,masters etc
Kama hujui kitu uwe unanyamaza.. acha kupotosha watu