Undergraduate ni inaanzia certificate au diploma?

Undergraduate ni inaanzia certificate au diploma?

napenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
485
Reaction score
90
Wadau naomba kujuzwa.

Hii inanitatiza sana, undergraduate inaanzia level ipi? Certificate, diploma au bachelor?. halafu pia kunamsemo, "kujiendeleza elimu ya juu" hii nayo siielewi, kwani kuna watu wameajiriwa na F4, certificate, diploma, bachelor, yupi hapo akisoma level inayofuata atakuwa kasoma elim ya juu?

Hivyo elimu ya juu ni ipi?
 
Certificate,diploma na bachelor zote kwa pamoja ni undergraduate, postgraduate inaanzia postgraduate diploma, masters etc
 
Asante nimeona Kobe ukisoma hapa inaonyesha hata aliye andika hafafanui vizuri

"Elimu ya juu, yaani ile ya baada ya shule ya upili au elimu ya awamu ya
tatu, si ya lazima. Elimu hii kwa kawaida hujumulisha viwango vya
shahada ya kwanza, ya uzamili, ya uzamifu pamoja na elimu ya ujuzi wa kitaalamu. Kwa jumla elimu ya juu hutolewa na vyuo na vyuo vikuu. Kwa
jumla elimu ya juu hutolewa na vyuo na vyuo vikuu.

Elimu ya juu huambatana na kutolewa kwa vyeti, stashahda za diploma na shahada za digrii kitaaluma" diploma anaiingiza halafu anaitoa, pia certificate haipo, mwanga nimepata
 
Last edited by a moderator:
Ona tena hii
An undergraduate student is a student who is studying for his/her first degree (usually entitled Bachelor of Arts [BA] or Bachelor of Science [BSc]).

There are three levels of undergraduate study equating to first-year, second-year and third-year study. Once the student has a first degree, he/she is called a graduate and may choose to take a higher qualification (e.g. a Postgraduate Certificate, Postgraduate Diploma, Masters Degree, PhD etc.).

He/she will then be called a postgraduate student.
 
Certificates, Diploma zinaitwa Continuing education ila degree inaitwa undergraduates studies pia post graduates inafanywa muda mfupi baada ya kumaliza masomo ya shahada ya kwanza yaani degree ina maana postgraduates inaanzia masters, PHD n.k

Kwa hiyo kuna Continuing education ya certificates, undergraduates ya degree na postgraduates ya masters, PHD. Maana post kwa kiswahili inamaanisha baada ya.

Mimi najua hivyo tu mkuu.
 
Wewe upo sahh
 
Wewe Ndiye Ntu Uliyechema Ukweli. Chio Ntu Mwingine Ana Andika Andika Tu
 
Humble African Hebu ona maelezo haya mbona bado utata nimeya-google

An undergraduate student is a student who is studying for his/her first degree (usually entitled Bachelor of Arts [BA] or Bachelor of Science [BSc]).

There are three levels of undergraduate study equating to first-year, second-year and third-year study. Once the student has a first degree, he/she is called a graduate and may choose to take a higher qualification (e.g. a Postgraduate Certificate, Postgraduate Diploma, Masters Degree, PhD etc.).

He/she will then be called a postgraduate student.
 
Last edited by a moderator:
What is the difference between PGCert/PGDip/Masters?

The difference between a Postgraduate Certificate, a Postgraduate Diploma and a Masters (MA or MSc) is in the amount of credits the course contains.

A full MA/MSc contains 180 credits. This is made up of 120 credits of taught units and 60 credits for a dissertation.
If you successfully complete half of the taught units (60 credits), you are awarded a Postgraduate Certificate.
If you successfully complete all of the taught units (120 credits), you are awarded a Postgraduate Diploma.
 
napenda njoo usome maandishi hayo hapo juu naamini utafunguka ufahamu zaidi mkuu.

Hizo postgraduates certificates, diploma e.t.c zote zina hadhi karibia sawa na ya masters tofauti zao zipo kwenye credits zake ila post zote zina maana ni baada ya undergraduates studies.

Note; post means "after". So aftet undergraduates one might opt for postgraduates studies sir.

Shukrani mkuu!

Can you copy that sir!?
 
Last edited by a moderator:
Kama hujui kitu uwe unanyamaza.. acha kupotosha watu

siwezi kunyamaza mkuu,niko taari kurekebishwa.nilitegemea ungesema bro hapa umekosea jibu sahihi ni hili.unaponiambia tena ninyamaze ina maana kesho tena nitafanya makosa yaleyale,nitkuwa sijajifunza bado.

be broad minded bro
 
Back
Top Bottom