Underground vs Wakongwe wa JF

Kajamaa kama kanatafuta kick hivi kupitia kundi la watu!
 
Kajamaa kama kanatafuta kick hivi kupitia kundi la watu!
Kweli kbs haka kajamaa(wewe) kanapenda sana kick na sifa ndio maana kanakomenti upuuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mh! sijui mie ni mkongwe au underground maana sijui nilijiunga lini hapa JF, nisaidie kuangalia wasifu wangu unijuze
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wameanza kukumbuka shuka alfajiei
 
walikuwepo kina Erickb52, kina Husninyo na wengine kibao, ila walipokuwa wakaacha. Na nyie maanda graundi mkikuwa mtaacha.

Eti unakuta mtu ana-like kibao kumbe kaandika upuuzi kama huu.
 
walikuwepo kina Erickb52, kina Husninyo na wengine kibao, ila walipokuwa wakaacha. Na nyie maanda graundi mkikuwa mtaacha.

Eti unakuta mtu ana-like kibao kumbe kaandika upuuzi kama huu.
Ww ndo umeprove upuuzi mtupu .....
Unaonekana unawashobokea hadi unawataja majina utafikiri umepewa cheo cha ubalozi
Eti "wamekua" labda makalio wkt kila siku tunawaona wakiandika ujinga tu
Likes zetu zinakuhusu? Au unataka tukupunguzie kidogo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Acha uongo. Hao niliowataja umewaona wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…