Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 663
Huo moto ukaipatia nini timu yakeLiverpool wameona moto wake aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunatamani sana aje pale Old traford tuachane na kina Martial.This folk is so talented.
Nashangaa kwanini yupo team ndogo kama Crystal Palace, kwanini walau asiwe hata Arsenal.
Akiwa na mpira una enjoy kumtizama, anajiamini, ana skills za kutosha, ana stamina miguuni, ana speed.
Yani hawezi kabwa na beki mmoja, anakabwa na mabeki kuanzia wawili au watatu, na akiwa na mpira ujue kuutoa mguuni kwake basi huna budi kumchezea faulo.
Last season ndio mchezaji aliyeongoza kuchezewa faulo nyingi.
Huo moto ukaipatia nini timu yake
Kile kinachosomeka kwenye ubao wa matokeo baada ya dk 90 ndiyo chenye credit. Chenga, kanzu, VAR vyeto havina maana baada ya kipenga cha mwisho kama hukushinda. Mchezaji akisaidia timu yake kupata 3 pts kwa namna yoyote itakayokubalika huyo ndiyo yuko on fire. Na bahati mbaya football siyo riadha au ngumi.Shekhe hukuangalia mpira? By the way endeleeni kuishukuru VAR, Zaha alikuwa kwenye viwango kuliko forward yoyote hata Mane hakufikia kiwango alichocheza Zaha
Shekhe hukuangalia mpira? By the way endeleeni kuishukuru VAR, Zaha alikuwa kwenye viwango kuliko forward yoyote hata Mane hakufikia kiwango alichocheza Zaha
MujarabuKile kinachosomeka kwenye ubao wa matokeo baada ya dk 90 ndiyo chenye credit. Chenga, kanzu, VAR vyeto havina maana baada ya kipenga cha mwisho kama hukushinda. Mchezaji akisaidia timu yake kupata 3 pts kwa namna yoyote itakayokubalika huyo ndiyo yuko on fire. Na bahati mbaya football siyo riadha au ngumi.
Hata Angel D Maria alikuwa Man UHiki kitu nakisema kila leo. Kuna aina ya wachezaji kung'aa kwao ni wakicheza timu ambayo huwezi tarajia makubwa kutoka kwao, mfano kwenda UEFA au kushinda Ligi.
Akipelekwa timu yenye mashabiki wenye matarajio hayo huyu mtamkataa mtamuona andazi. Alikua Man U, nini kikatokea? Alikua mtoto? Kuna wachezaji wangapi walikua watoto na wakaanza kung'aa wakiwa na utoto huo huo?
Huyu abaki Crystal Palace atashine hadi atafurahi.
Aliondoka kwa sababu ganiTunatamani sana aje pale Old traford tuachane na kina Martial.
Umeanza kufatilia mpira lini?Hata Angel D Maria alikuwa Man U
Baada ya kutoka anakiwasha mpaka leo