Underrated Wilfred Zaha

Underrated Wilfred Zaha

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
733
Reaction score
663
This folk is so talented.

Nashangaa kwanini yupo team ndogo kama Crystal Palace, kwanini walau asiwe hata Arsenal.

Akiwa na mpira una enjoy kumtizama, anajiamini, ana skills za kutosha, ana stamina miguuni, ana speed.

Yani hawezi kabwa na beki mmoja, anakabwa na mabeki kuanzia wawili au watatu, na akiwa na mpira ujue kuutoa mguuni kwake basi huna budi kumchezea faulo.

Last season ndio mchezaji aliyeongoza kuchezewa faulo nyingi.
 
Tunatamani sana aje pale Old traford tuachane na kina Martial.
 
Shekhe hukuangalia mpira? By the way endeleeni kuishukuru VAR, Zaha alikuwa kwenye viwango kuliko forward yoyote hata Mane hakufikia kiwango alichocheza Zaha
Kile kinachosomeka kwenye ubao wa matokeo baada ya dk 90 ndiyo chenye credit. Chenga, kanzu, VAR vyeto havina maana baada ya kipenga cha mwisho kama hukushinda. Mchezaji akisaidia timu yake kupata 3 pts kwa namna yoyote itakayokubalika huyo ndiyo yuko on fire. Na bahati mbaya football siyo riadha au ngumi.
 
Hiki kitu nakisema kila leo. Kuna aina ya wachezaji kung'aa kwao ni wakicheza timu ambayo huwezi tarajia makubwa kutoka kwao, mfano kwenda UEFA au kushinda Ligi.

Akipelekwa timu yenye mashabiki wenye matarajio hayo huyu mtamkataa mtamuona andazi. Alikua Man U, nini kikatokea? Alikua mtoto? Kuna wachezaji wangapi walikua watoto na wakaanza kung'aa wakiwa na utoto huo huo?

Huyu abaki Crystal Palace atashine hadi atafurahi.
 
Wewe unataka kum'overate' ni mchezaji mzuri, ni msumbufu ila hajafikia hatua ya kusema underrated, hesabu mipira anayopoteza, anapofanikiwa katika dribbling zake, ni maji kupwa, maji kujaa. Ili uwe katika midomo ya wapenzi wa soka ni lazima mchezaji ajaribu kumaintain kiwango chake. Game nyingi sana huwa namuna hovyo.

Haya ni maoni yangu.
 
Kuna wachezani hubaki kuwa wachezaji wa team ndogo. Akienda team kubwa utashangaa anakuwa kama batchuayi.
 
Kile kinachosomeka kwenye ubao wa matokeo baada ya dk 90 ndiyo chenye credit. Chenga, kanzu, VAR vyeto havina maana baada ya kipenga cha mwisho kama hukushinda. Mchezaji akisaidia timu yake kupata 3 pts kwa namna yoyote itakayokubalika huyo ndiyo yuko on fire. Na bahati mbaya football siyo riadha au ngumi.
Mujarabu
 
Hiki kitu nakisema kila leo. Kuna aina ya wachezaji kung'aa kwao ni wakicheza timu ambayo huwezi tarajia makubwa kutoka kwao, mfano kwenda UEFA au kushinda Ligi.

Akipelekwa timu yenye mashabiki wenye matarajio hayo huyu mtamkataa mtamuona andazi. Alikua Man U, nini kikatokea? Alikua mtoto? Kuna wachezaji wangapi walikua watoto na wakaanza kung'aa wakiwa na utoto huo huo?

Huyu abaki Crystal Palace atashine hadi atafurahi.
Hata Angel D Maria alikuwa Man U

Baada ya kutoka anakiwasha mpaka leo
 
Nadhani na leo mmeona habari ya huyu kijana...ni motooo.
 
Back
Top Bottom