Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 663
This folk is so talented.
Nashangaa kwanini yupo team ndogo kama Crystal Palace, kwanini walau asiwe hata Arsenal.
Akiwa na mpira una enjoy kumtizama, anajiamini, ana skills za kutosha, ana stamina miguuni, ana speed.
Yani hawezi kabwa na beki mmoja, anakabwa na mabeki kuanzia wawili au watatu, na akiwa na mpira ujue kuutoa mguuni kwake basi huna budi kumchezea faulo.
Last season ndio mchezaji aliyeongoza kuchezewa faulo nyingi.