Simao Latino
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 477
- 608
Usalama wwa Magogoni utakuwa mashakaniSWALI: 2030 tukiamua kujenga underwater tunnel kama hii from Magogoni to Kigamboni tukaamua kuachana na Panton itawezekana??..
Watawaza kukatwa kwa mirija yao,Morocco π²π¦ na Uhispania πͺπΈ zinapanga kujenga tunnel la Euro bilioni 6 ili kuunganisha nchi hizo mbili.
Njia hiyo itakuwa na urefu wa kilomita 38.5, na kilomita 28 chini ya bahari kwenye kina cha 175-475 m. Ikikamilika, itakuwa mojawapo ya tunnels ndefu zaidi duniani na kuifanya iwe njia ya haraka na ya bei nafuu ya kusafirishia bidhaa na watu kati ya Afrika na Ulaya.
SWALI: 2030 tukiamua kujenga underwater tunnel kama hii from Magogoni to Kigamboni tukaamua kuachana na Panton itawezekana??..
The tunnel will be 38.5 km long, with 28 km under the sea at depths of 175-475 m.
If completed, it would be one of the longest tunnels in the world and make it faster and cheaper to move goods and people between Africa and Europe.
Is it possible kwa Kigamboni - Magogoni 2030??..
Hizo zote Elon musk alifikiria kabla sio ajabu kuiga, kwa lengo la maendeleo note Kila kitu kinawezekana hata tz.Morocco π²π¦ na Uhispania πͺπΈ zinapanga kujenga tunnel la Euro bilioni 6 ili kuunganisha nchi hizo mbili.
Njia hiyo itakuwa na urefu wa kilomita 38.5, na kilomita 28 chini ya bahari kwenye kina cha 175-475 m. Ikikamilika, itakuwa mojawapo ya tunnels ndefu zaidi duniani na kuifanya iwe njia ya haraka na ya bei nafuu ya kusafirishia bidhaa na watu kati ya Afrika na Ulaya.
SWALI: 2030 tukiamua kujenga underwater tunnel kama hii from Magogoni to Kigamboni tukaamua kuachana na Panton itawezekana??..
Wewe unamzungumzia Elon Musk wa juzijuzi tu hapa wakati kuna Underwater tunnel kati ya Uingereza na Ufaransa tangia mwaka 1994. Wee mtoto wa 2,000 unazingua ujue..!!!Hizo zote Elon musk alifikiria kabla sio ajabu kuiga, kwa lengo la maendeleo note Kila kitu kinawezekana hata tz.
Elon musk sio wa elfu 2Wewe unamzungumzia Elon Musk wa juzijuzi tu hapa wakati kuna Underwater tunnel kati ya Uingereza na Ufaransa tangia mwaka 1994. Wee mtoto wa 2,000 unazingua ujue..!!!
From Kurasini to Magogoni?? How long is it?? Mbona sasa abiria wanajazana Magogoni badala ya kwenda Kurasini??..Daraja lipo few km tu hapo kurasini tunel sio ya msingi ukizingatia bado tunapambana na matundu ya vyoo
Tunnels kama hizi huwa zinaendapa deep down sio mchezo mkuu. Engineers wanajua sana hii kitu mkuu. Mfano ni ile from England to France ya mwaka 1994..Meli zitapita wapi?
Wewe ni Elon Musk??..Elon musk sio wa elfu 2
Yeye ndiyo alikuwa na hilo wazoWewe ni Elon Musk??..
Tunel haitadumbukia tu hapo magogoni na kuibukia kigamboni uki consider ukaribu uliopo inabidi uitafutie kwa mbali hivyo mambo ya umbali yatakua yale yale ya kurasini au iwe mbali zaidi inaweza kuwekwa hata coco beach kule . Ungesema daraja la kufunguka angalau ungeelewekaFrom Kurasini to Magogoni?? How long is it?? Mbona sasa abiria wanajazana Magogoni badala ya kwenda Kurasini??..
Coco Beach mkuu?? Hahahaaa you can't be serious. Hata kama mimi sio engineer ila hauwezi ukanidanganya kwa namna hii mkuu..Tunel haitadumbukia tu hapo magogoni na kuibukia kigamboni uki consider ukaribu uliopo inabidi uitafutie kwa mbali hivyo mambo ya umbali yatakua yale yale ya kurasini au iwe mbali zaidi inaweza kuwekwa hata coco beach kule . Ungesema daraja la kufunguka angalau ungeeleweka