Simao Latino
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 477
- 608
Morocco 🇲🇦 na Uhispania 🇪🇸 zinapanga kujenga tunnel la Euro bilioni 6 ili kuunganisha nchi hizo mbili.
Njia hiyo itakuwa na urefu wa kilomita 38.5, na kilomita 28 chini ya bahari kwenye kina cha 175-475 m. Ikikamilika, itakuwa mojawapo ya tunnels ndefu zaidi duniani na kuifanya iwe njia ya haraka na ya bei nafuu ya kusafirishia bidhaa na watu kati ya Afrika na Ulaya.
SWALI: 2030 tukiamua kujenga underwater tunnel kama hii from Magogoni to Kigamboni tukaamua kuachana na Panton itawezekana??..