Undisputed Boxing Fight: Beterbiev vs Bivol, Jumapili 13.10.2024, Saa 01:15 Usiku

Undisputed Boxing Fight: Beterbiev vs Bivol, Jumapili 13.10.2024, Saa 01:15 Usiku

kapigika Sana

uislamu umembeba hapo Saudia

round 1,2,3,6,7,8,9 zote bivol kashinda bila upinzan wowote
Nimekumbuka pambano la Floyd na yule mfilipino.

Kibaya kwenye boxing mtu hata akuguse kidogo kichwani ni point za kutosha.
 
biggest fuckin robbery

nachukiaga kupoteza usingiz wangu kuona mtu anadhulumiwa haki yake .......I don't know how these boxers feels,yaan mtu amejiandaa for more than 6 months unakuja kumtapeli ndani ya dakika chache
Bivol alistahili ushindi.
 
Ingawa natamani Bivol ashinde ila Beterbiev ana ngumi nzito itakayopelekea kumtandika Bivol kwa KO
Beterbiev sio kwamba anangumi nzito kihivyo ila jamaa anajua kupiga panapouma basi jamaa anaweza kukuvumilia mishipi ya wapinzani ila muda wake ukifika akiiotea sehem yake umeisha.
 
kapigika Sana

uislamu umembeba hapo Saudia

round 1,2,3,6,7,8,9 zote bivol kashinda bila upinzan wowote
Ila tajiri kashasema kuna uwezekano wa rematch ingawa mkataba wao wa awali haukuwa na kipengele hiko so tajiri kasema atatia mzgo
IMG-20241013-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom