Unene huu wa waheshimiwa wetu unasababishwa na nini?

Unene huu wa waheshimiwa wetu unasababishwa na nini?

Lakini na wewe Rev Kishoka picha yako inaonyesha unafanana nao! lol!
 
tatizo hawa jamaa wanakula sana, halafu hawana akili. kwasababu mtu mwenye akili za kikwelikweli, lazima atakuwa anakula balanced diet kwa wale wenye uwezo kama wao(sio kwamba wanashindwa, hela wanayo kuafford), na atakuwa anaelewa kuwa mtu mnene kama wao anakufa halaka, anapata maradhi kirahisi, na hatadumu kwa mda mrefu. pia, vyakula vyao haviko sawasawa kwasababu wao wanakula tu alimradi, viwe na mafuta kibao twende, viwe nyama choma za mafuta twende, michipsi huko twende, miwali imejaa mafuta twende, michachandu iliyojaa mafuta twende, wanakula mbuzi wanabugia bia kama maji,wanakula kitimoto mtindo mmoja na hawafanyi mazoezi. hivi mtu kama KOMBA,ikitokea vita atakimbiaje? au yule mdada wake Genista muhagama, watakuwa wakwanza kukamatwa na askali maadui...hahaha. tatizo hawafanyi mazoezi, akili hiyo hawana, na hawajifunzi toka kwa watu wengine. wanafikiri unene ni afya.
 
ndo maana hata wake zao nasikia wanawakimbiaga hivyohivyo. ni maboga tu, mapipa hata kubingirika hayawezi. na wanachoka haraka sana wakiwa kwenye kulima shamba(nimetumia tafsida), wakishika jembe tu, inachoka haraka. hii ni aibu kwa taifa. halafu nafikiri wamelaaniwa kwasababu ya ufisadi. ndo maana wanakuwa na miili minene kama boko na tembo.
 
Na bora muwakurupushe taratibu wanaweza ghafula wakapa ugonjwa wa shinikizo la damu.
Hivi waTz wakichachamaa na kuwadai feza wanazokula warudishe wataweza kwenda mbio watu hawa. baada ya miaka kumi anamwagiwa nyengine mamilioni ,kazi yake kubwa ni kupiga makofi tu na kucheka saaana.Kicheko cha maudhi.
 
Mnene mwingine Thomas Apson Mwang'onda
tom.JPG
 
Ni umri na kujiachia! Bila shaka hata wewe ukifikia umri huo na usipofanya mazoezi na kula chakula kinachotakiwa kwa umri wako utakuwa hivyo hivyo.
 
Posho na kulakula hovyo ni chanzo cha kunenepeana, tena na mipombe unachangia then hawafanyi mazoezi
 
katika pita pita zangu nimekutana na Picha ya Mh Mgana Msindai Mb
Umbile lake ni hatari sijui ni afya ama ugonjwa!!

1377.jpg

aaaa.jpg

untitledd.jpg

Na huyo John Komba (MB)

wabunge.jpg

Kiti Kimoja ninaweza leta ajali

1230275678_komba.jpg
 
We Masanilo, huwa unapata wapi picha za namna hii?

Yaani kwa maumbo haya, tujiandae kwa chaguzi ndogo nyingi siku za usoni.
 
We Masanilo, huwa unapata wapi picha za namna hii?

Yaani kwa maumbo haya, tujiandae kwa chaguzi ndogo nyingi siku za usoni.

Jamaa hawa wanapenda sana kula hovyo...nasikia Komba kuku 2 anamaliza...nimezipata kwenye mablog mkuu baija bolobi!
 
Jamaa hawa wanapenda sana kula hovyo...nasikia Komba kuku 2 anamaliza...nimezipata kwenye mablog mkuu baija bolobi!
Msindai nahisi mbuzi mzima anamaliza.......mkuu labda majuu lakini hapa ukiwa hivyo unaonekana unazo saana...hata michuchu unapata kwa saana
 
Masa!
Mimi napenda sana kula kuliko kawaida lakini mbona sipo kama wale kabisa? Au inawezekana ndo miili au asili yao kwenye vizazi vyao?

Nahisi kuna sababu nyingine zaidi ya kula zinazosababisha unene kama wa hao waheshimiwa!
 
Hivi wanaweza kuwaridhisha wake zao kwa unnene huu?

Na Mke akiwa mnene hivi je huko ndani kutatosha?
 
Hivi wanaweza kuwaridhisha wake zao kwa unnene huu?

Na Mke akiwa mnene hivi je huko ndani kutatosha?

ukiwavizia ukirekodi blue print yao ukipeleka hollywood ...wanaweza kupata ajira ya ajabu ..na movie yao itakuwa TOP selling....yupo huyo msindai na yule wa kigamboni.....du wabunge wanene hao...
 
...bila vitambi utajuaje ni mabwana wakubwa?
 
Msindai nahisi mbuzi mzima anamaliza.......mkuu labda majuu lakini hapa ukiwa hivyo unaonekana unazo saana...hata michuchu unapata kwa saana

Dogo huachi kunisurprise all da tyme na comments zako! huku bila six pack utahangaika na matinginya kaka!
 
Masa!
Mimi napenda sana kula kuliko kawaida lakini mbona sipo kama wale kabisa? Au inawezekana ndo miili au asili yao kwenye vizazi vyao?

Nahisi kuna sababu nyingine zaidi ya kula zinazosababisha unene kama wa hao waheshimiwa!

BelindaJacob, hebu kula kuku wawili, kila siku na siku moja moja pata mguu mzima wa mbuzi na vibia 4!! na mazoezi kwako yawe ni mwiko nakuhakikishia lazima utakuwa kama Mgana Msindai
 
Msindai nahisi mbuzi mzima anamaliza.......mkuu labda majuu lakini hapa ukiwa hivyo unaonekana unazo saana...hata michuchu unapata kwa saana

Hahahahahahahahahahahaha, du nimecheka hadi mbavu zimeniuma. Ukimaanisha hadi utumbo ama?
Aise kuna vijimambo humu.
 
Back
Top Bottom