Saikosisi
JF-Expert Member
- May 4, 2007
- 528
- 34
1. Kula kupita kiasijamani hii inasababishwa na kutofanya mazoezi? kujiachia kwa kutofata mipango mizuri ya mlo? au ni wagonjwa tokea zamani?
nnaomba mnisaidie maana unene wao unatisha wakuu, kwa hali hii wakifa tusije kumzulia chenge kabisa !!!!
'
View attachment 1717
Mbunge wa Kigamboni, Bw. Mwinchoum Msomi akiongozana na Mbunge wa Morogoro Kusini, Bw. Hamza Mwenegoha wakati wakiingia bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Emmanuel Kwitema)
2. Kutokufanya mazoezi, wakati wote ofisini au kwenye gari
3. Attitude na ama Perception kuwa ili uonekane unazo inabidi uwe
chinene!