tatizo hawa jamaa wanakula sana, halafu hawana akili. kwasababu mtu mwenye akili za kikwelikweli, lazima atakuwa anakula balanced diet kwa wale wenye uwezo kama wao(sio kwamba wanashindwa, hela wanayo kuafford), na atakuwa anaelewa kuwa mtu mnene kama wao anakufa halaka, anapata maradhi kirahisi, na hatadumu kwa mda mrefu. pia, vyakula vyao haviko sawasawa kwasababu wao wanakula tu alimradi, viwe na mafuta kibao twende, viwe nyama choma za mafuta twende, michipsi huko twende, miwali imejaa mafuta twende, michachandu iliyojaa mafuta twende, wanakula mbuzi wanabugia bia kama maji,wanakula kitimoto mtindo mmoja na hawafanyi mazoezi. hivi mtu kama KOMBA,ikitokea vita atakimbiaje? au yule mdada wake Genista muhagama, watakuwa wakwanza kukamatwa na askali maadui...hahaha. tatizo hawafanyi mazoezi, akili hiyo hawana, na hawajifunzi toka kwa watu wengine. wanafikiri unene ni afya.