Wahenga tulio above 40 hadi 80 ambao hatuna vitambi au ubonge tugonge cheers...Ukiona mwanaume au mwanamke ni kibonge, amejazia minyama uzembe ana kitambi/tumbo kubwa ujue anakula hovyo, hana nidhamu ya chakula na pia ni mzembe na mvivu wa kushughulisha mwili.
Binadamu hawatakiwi kunenepeana au kuwa na matumbo makubwa kama sio wagonjwa.
Kwahiyo wote walio wanene ni wazembe na kwamba wanakula sana?Ukiona mwanaume au mwanamke ni kibonge, amejazia minyama uzembe ana kitambi/tumbo kubwa ujue anakula hovyo, hana nidhamu ya chakula na pia ni mzembe na mvivu wa kushughulisha mwili.
Binadamu hawatakiwi kunenepeana au kuwa na matumbo makubwa kama sio wagonjwa.