Unene, kuwa kibonge ni ishara ya kula hovyo na uvivu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ukiona mwanaume au mwanamke ni kibonge, amejazia minyama uzembe ana kitambi/tumbo kubwa ujue anakula hovyo, hana nidhamu ya chakula na pia ni mzembe na mvivu wa kushughulisha mwili.

Binadamu hawatakiwi kunenepeana au kuwa na matumbo makubwa kama sio wagonjwa.
 
Ebu tuheshimiane kwenye habari za mamaenu...🤥
20260606_072251.jpg
 
Ngoja vibonge waje hapa watakumeza hadi wewe
 
Ukiona mwanaume au mwanamke ni kibonge, amejazia minyama uzembe ana kitambi/tumbo kubwa ujue anakula hovyo, hana nidhamu ya chakula na pia ni mzembe na mvivu wa kushughulisha mwili.

Binadamu hawatakiwi kunenepeana au kuwa na matumbo makubwa kama sio wagonjwa.
Wahenga tulio above 40 hadi 80 ambao hatuna vitambi au ubonge tugonge cheers...

Ubinadamu ni kazi the humanity is work.
 
Mtu anakua ana mwili kama friji alf hata hastuki! kutmbea kidogo tu anapumua kama yupo wodini aiseee wapunguze msosi kidogo..
 
Sawa, ila hili suala sio jepesi hivyo. Kumbuka lishe yetu watanzania ni mbaya mno. Nina uhakika zaidi ya 60% ya lishe yetu ni nafaka.

Na hakuna utamaduni wa mazoezi kwa watu wa marika.
 
Ukiona mwanaume au mwanamke ni kibonge, amejazia minyama uzembe ana kitambi/tumbo kubwa ujue anakula hovyo, hana nidhamu ya chakula na pia ni mzembe na mvivu wa kushughulisha mwili.

Binadamu hawatakiwi kunenepeana au kuwa na matumbo makubwa kama sio wagonjwa.
Kwahiyo wote walio wanene ni wazembe na kwamba wanakula sana?
 
Na wale wanaokula kinoma na hawanenepi na hawana mazoezi kabisa inakuaje kuaje hapa?
 
Kula kwa pattern ni muhimu sana. Kinachoitwa diet ndio chakula halisi kwa binadamu.
 
Kula hovyo au kuwa mzembe hakusababishi unene wewe Yuda
 
Back
Top Bottom