Unene na uzito mkubwa kwa binadamu linakuja kuwa janga la dunia

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Watu wenye unene uliopitiliza wanaongezeka kwa idadi duniani. Tunapanda nao madaladala na wanachukua nafasi ya watu wawili wakati wanalipikia kiti kimoja. Hata ile sehemu ya kusimama, ukigeuka hivi umekutana na tumbo mara mgongo. Ulisombe ukae dirishani na yeye awe jirani yako atakubana wewe.

Kwakweli wanga uliochanganywa na mafuta una ladha tamu sana. Kuanzia keki mpaka pilau iliyokolea mafuta. Nyama ya kidari ina ladha ya pekeee. Binafsi huwa ninaikaanga mpaka inakua hudhurungi ndipo nina ipika kwa moto mdogo nikichanganya na mboga mboga.

Huko tunakokwenda mashirika ya ndege yatalazimika kuweka viti ya obese na kuwawekea bei yao, sasa uzito wa kilo 98-100+ unashindwa kupanda business class! Huku economy class tuachiwe tunaokula ugali na papa ya kulumangia.
 
Dunia itafaa ije na project za kukataa unene haswa wa kizembe ila ndo kwanza wajinga wajinga wanakuja na project za ushoga!.
 
Nchi za magharibi ndo kuna wanene ila kwetu tuna tatizo la kukonda.
Huku kwetu wale wenye uwezo wa kula mboga zaidi ya mbili kwa siku hili tatizo wameanza kukabiliana nalo. Kule Nigeria ukiwa na tumbo na kalio hata traffic akikusimamizha ukishuka kwenye gari anakuita madam lakini ukiwa kama Speaker wetu unaitwa small madam.
 
Watu wenye unene uliopitiliza wanaongezeka kwa idadi duniani. Tunapanda nao madaladala na wanachukua nafasi ya watu wawili wakati wanalipikia kiti kimoja. Hata ile sehemu ya kusimama, ukigeuka hivi umekutana na tumbo mara mgongo. Ulisombe ukae dirishani na yeye awe jirani yako atakubana wewe.

Kwakweli wanga uliochanganywa na mafuta una ladha tamu sana. Kuanzia keki mpaka pilau iliyokolea mafuta. Nyama ya kidari ina ladha ya pekeee. Binafsi huwa ninaikaanga mpaka inakua hudhurungi ndipo nina ipika kwa moto mdogo nikichanganya na mboga mboga.

Huko tunakokwenda mashirika ya ndege yatalazimika kuweka viti ya obese na kuwawekea bei yao, sasa uzito wa kilo 98-100+ unashindwa kupanda business class! Huku economy class tuachiwe tunaokula ugali na papa ya kulumangia.
Bi-mkubwa huo ni unyanyapaji au stigmatising kwa hao watu, wengine ni unene wakuzaliwa don't insult them plz..
 
Nimemuona Prince Na Yaani kabadilika Halafu yeye anafurahia tu hajui ni ugonjwa
IMG_6696.jpg
 
Watu wenye unene uliopitiliza wanaongezeka kwa idadi duniani. Tunapanda nao madaladala na wanachukua nafasi ya watu wawili wakati wanalipikia kiti kimoja. Hata ile sehemu ya kusimama, ukigeuka hivi umekutana na tumbo mara mgongo. Ulisombe ukae dirishani na yeye awe jirani yako atakubana wewe.

Kwakweli wanga uliochanganywa na mafuta una ladha tamu sana. Kuanzia keki mpaka pilau iliyokolea mafuta. Nyama ya kidari ina ladha ya pekeee. Binafsi huwa ninaikaanga mpaka inakua hudhurungi ndipo nina ipika kwa moto mdogo nikichanganya na mboga mboga.

Huko tunakokwenda mashirika ya ndege yatalazimika kuweka viti ya obese na kuwawekea bei yao, sasa uzito wa kilo 98-100+ unashindwa kupanda business class! Huku economy class tuachiwe tunaokula ugali na papa ya kulumangia.
uzi tayal!!
 
mimi nina urefu wa 6.2feet.uzito nacheza nao 95 hadi 100...
kuna kipindi niliisha to the maximum baada ya kukimbiwa na mke na kupewa ridandas..
nilipima nilikuwa na 78 yaani kipindi hicho nilibak skrepa..
ajabu sio mlaji kivile ila sipungui sababu most of time nakula jioni saa 10 hadi kesho yake muda km huo.
nnaambiwa unene unaletwa na kutembea umekaa (kudrive).but mi siendeshi gari ndogo but ni mtu wa masafa marefu na hilo ni kama zoezi.
 
Kwani hao Wanene wanakula nini? Mimi mbona nautaka sana huo Unene na mpaka leo sijawahi kuupata. Nshatumia kila aina ya kutumia lakini wapi. Nipo kama Mkurugenzi wa JamiiForums. Copyright!
Maisha hayako Fair.
Wewe utakua KING Msukuma wewe, sio bure; maanake aliwahi hadi kuuliza swali hili hili bungeni yaani
 
Back
Top Bottom