Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi tatizo urohoSipendi unene...ila nimeuweza... nakunywa zangu chai ya mdalasini...
Nakula saa 9 jioni...
Usiku matunda...
Hiyo saa Tisa unakula chakula gani nnataka ni copy hyo ratiba yako nimeipenda maana ukiwa mnene sana Hata kupiga picha hutokei vizuri nijiwahi maana unakuja kwa kasiSipendi unene...ila nimeuweza... nakunywa zangu chai ya mdalasini...
Nakula saa 9 jioni...
Usiku matunda...
Bi-mkubwa huo ni unyanyapaji au stigmatising kwa hao watu, wengine ni unene wakuzaliwa don't insult them plz..
post nzuri, ahsante kwa kumbusho ttzo unene umekaa kwenye vitu vitamu sana.
Nimewaachia...napenda nikivaa nipendeze...Sasa kula kujigalagaza unatuachia sisi!
Asubuhi chai ya mdalasini na kitafunwa chochote ila kula kidogo...Hiyo saa Tisa unakula chakula gani nnataka ni copy hyo ratiba yako nimeipenda maana ukiwa mnene sana Hata kupiga picha hutokei vizuri nijiwahi maana unakuja kwa kasi
Jitahidi kubalance mwili wako vizuri ila hakikisha tu kalio halipungui, maana sasa hivi mjini bila ya kalio unaonekana si lolote si chochote.Nimewaachia...napenda nikivaa nipendeze...
Unene bwana unanguo na nguo...
Hapa kwa mazoezi...mi sipendi mazoezi...Kinachonisaidia ni mazoezi lakini bila hivyo ningekua Asha Boko
[emoji1787][emoji1787] limebakia la kishkaji...Jitahidi kubalance mwili wako vizuri ila hakikisha tu kalio halipungui, maana sasa hivi mjini bila ya kalio unaonekana si lolote si chochote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] safi sana, siku hizi mambo yamebadilika kwa kasi sana, kalio ndio imekua habari ya mujini.[emoji1787][emoji1787] limebakia kakishkaji...
Sasa na wale wenye pasi za mkaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] safi sana, siku hizi mambo yamebadilika kwa kasi sana, kalio ndio imekua habari ya mujini.
Kwa kuthibitisha hili angalia hata mashindano ya u miss yamepoteza mvuto wake sio kama ilivyokua zamani.
Nani sasa hivi anataka kupoteza muda wake kwa kuangalia mifupa inavyopita stejini.
Sasa hivi kila mtu anapenda kuona steki zinavyotingishika tingishika.
Bora tu wavae vigodoro kwa kweli maana upepo ndio ushabadilika tayari.Sasa na wale wenye pasi za mkaa...
Jamani mnasababisha wanawake wavae vigodoro na kuongeza makalio...
Tupendeni tu hivyo hivyo ...
nature ya mahangahiko ya maisha ndo inatufanya mazoezi kuwa tabu aisee, tunaishia kufanya zoezi moja tu.Vitu vitamu sio shida, kula sana ila hakikisha unafanya mazoezi sana…. mbona simple tu.!
Mimi sijawahi kunenepa. Soda sinywi, chai nakunywa bila sukari. Asubuhi kabla ya kula nakunywa maji , baada ya nusu saa nakula tunda lakini sio siku zote. Baada ya hapo nakunywa chai bila sukari, mkate wa brown au chapati moja. Mchana nakula kama kawaida ila wanga unakua kidogo. Jioni kula mwisho saa moja na nusu, nikichelewa sana saa 2. Nakula wanga kidogo na mboga nyingi. Chips naweza nisile hata miezi 3. Nafanya kazi na wazungu, wanawake wote ni wembamba na hawana matumbo. Ukija kwa wabongo ni shida, utadhani siku zote ni wajawazito, tenza wanawake ndio wanaongoza.Asubuhi chai ya mdalasini na kitafunwa chochote ila kula kidogo...
Mchana usile chakula...kama unamatunda kula...
SaaTisa kula chochote cha kupikwa vyakula vya kukaanga kama chipsi usile, wala usinywe soda...
Kula kiasi...
Ukiweza jioni kunywa kikombe cha mdalasini...
Usipende kula kula...
Kuna suppliment za kuongeza makalio , zina wateja balaa. Ila jiulize hao wachina ni zaidi ya flat screen lakini wanatuuzia tu wala hawatumii. Akili mkichwa. Mwanamke ni kujiamini , uwe flat au uwe nza wowowo utapata wa kuendana nawe maana wapo ambao makalio makubwa kwao sio kipaumbele.Sasa na wale wenye pasi za mkaa...
Jamani mnasababisha wanawake wavae vigodoro na kuongeza makalio...
Tupendeni tu hivyo hivyo ...