Unene na uzito mkubwa kwa binadamu linakuja kuwa janga la dunia

umeongea jambo la maana sana ambalo naona watu wengi hawalichukulii maanani. ila blacks ndio tunaoongoza kwa nyama uzembe.
watu wengi wanakula ovyo ovyo huku hawataki hata kufanya mazoezi, "YOUR BODY SIZE REFLECTS YOUR LIFE STYLE AND WHAT YOU EAT".
 
Tafuta hela usipande dalalada unene sio ugonjwa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
labda tatizo lipo kwny roho sio tumbo
Kwani hao Wanene wanakula nini? Mimi mbona nautaka sana huo Unene na mpaka leo sijawahi kuupata. Nshatumia kila aina ya kutumia lakini wapi. Nipo kama Mkurugenzi wa JamiiForums. Copyright!
Maisha hayako Fair.
 
Ukweli asilimia kubwa ya unene Tanzania ni lifestyle ya watu wanavyoishi, pia jamii inayokuzunguka!!

Jamii kubwa huwa wanawaza kwamba wakifanikiwa kunenepa basi ndo heshima,

Yaani kitambi ndo pesa🤣🤣🤣
 
Hili tatizo linaletwa na kipato. Kam huna kipato ujue ni "visevesa" [emoji28]. Hata hivyo afrika hili tatizo haiwez kuwa tatizo mpaka kusumbua vichwa vya wapanga Sera. Hili litakuwa siriasi kama tukiingia uchumi wa Kati ule wa kweli
 
Kuna mfanyakazi mwenzangu anasema mwanae ana 25 yrs na ana kilo 170,nilishangaa sana.Na anasema last year alikuwa na 180Kg.
 
Kwani hao Wanene wanakula nini? Mimi mbona nautaka sana huo Unene na mpaka leo sijawahi kuupata. Nshatumia kila aina ya kutumia lakini wapi. Nipo kama Mkurugenzi wa JamiiForums. Copyright!
Maisha hayako Fair.
Pamoja na stress nilizo nazo lakini imenibidi nicheke tu.
 
Kuna mfanyakazi mwenzangu anasema mwanae ana 25 yrs na ana kilo 170,nilishangaa sana.Na anasema last year alikuwa na 180Kg.
Hii ni hatari sawa na kuishi na bomu mwilini, linaweza kulipuka muda wowote.
 
Na kwa mtazamo wetu ni kwamba unene unaashiria uwezo kifedha na ni fahari
 
Wanawake mizigo ndio mpango mzima. Hata akipita tu mbele yako roho inakua kwatu.
 
Kwani hao Wanene wanakula nini? Mimi mbona nautaka sana huo Unene na mpaka leo sijawahi kuupata. Nshatumia kila aina ya kutumia lakini wapi. Nipo kama Mkurugenzi wa JamiiForums. Copyright!
Maisha hayako Fair.
Ndugu hata usiutamani mana ni kero tu.
Mimi sio mnene ila napambana nipungue mana nakoelekea sio kuzuri.
Kuna watu wana miili mibaya ukijiachia tu kidogo jina linabadilika unaanza kuitwa bonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…