darhood
Senior Member
- Dec 29, 2013
- 116
- 192
UNENE NI UZEMBE.!! Kwanza kabisa nitashukuru sana ukink Follow on twitter soon nitaanzisha twitter spaces kwa hizi topics FOLLOW HAPA
Kuna study ilifanyika mwaka 2022 na shirika linaitwa lancet, hawa jamaa walifanya tafiti na wakaja na majibu yaliyoonyesha kuwa zaidi ya watu billion moja duniani wana obesity.
Sasa kuna sababu nyingi sana zinazopelekea watu kuwa wanene, Lakini je, solution ni ipi?
Unene unasabishwa na Sababu kuu 4,
Ambazo ni - lifestyle, lishe, uzembe wa kutofanya mazoezi, na SOCIAL TOLERANCE.
Lets dive..!
1. Lifestyle..
Wote tunajuana na tuna fahamiana kwamba asilimia kubwa ya watu lifestyle zinaendana. Watu wengi wenye kipato cha kati na cha juu wanatumia vilevi, sio wote lakini wengi, watu hawa pia tuna assume wanakula mara 3 kwa siku, sio wote ila wengi.
2. Mazoezi, Mazoezi kwa nchi kama ya tanzania ni ndoto kwa watu wengi, ndio maana utakuta wengi wanakimbilia surgeries na njia nyingine za mkato za kupunguza unene which naona ni upotezaji muda na pesa
3. Lishe, Sio kila mtu anaweza ku afford lishe bora lakini usichokijua unaweza kupunguza food consumption tu ikakusaidia kama vile kula mara 2 au mara 1 kwa siku na kuzingatia kiasi cha aina ya chakula unachokula.
Binafsi naamini kula mara 3 kwa siku ni ANASA, hakuna haja wala namna ya kiafya utafaidika kwa kula mara 3 zaidi ya uroho na kufurahisha nafsi yako. But that's just me.
4. SOCIAL TOLERANCE
Binafsi nafikiri ukiacha sababu zote hapo juu hii pekee inaweza ikameza zote kama itatumiwa vizuri katika jamii,
Hear me out....
Zamani kama mnakumbuka mtu akiwa mnene alikua anakosa raha kabisa kila anapopita lazima ataniwe, sio marafiki sio wazazi sio watu baki, so ile hali ya kutaniwa na kurushiwa maneno ni jambo zuri sana kwani anavyozidi kukuwa inamjenga na kuona unene sio kitu kizuri which kiafya ni jambo sahihi kabisa,
Unene unakuja na magonjwa Always! Hivyo nadhani mtu akiwa mnene asipewe nafasi ya kubembelezwa, ataniwe mpaka akose raha, Kila apitapo, popote alipo ni vizuri mtu mnene ataniwe haswa na kuchekwa mpaka atambue kuwa mwili wake ni kama shimo la choo hvyo anahitaji kuuvua abaki na amani.
Nasisitiza hili kwasababu society ikimkataa mtu mnene automatically ataenda ku apply moja kati ya sababu 3 nilizo mention hapo juu na kupelekea kuokoa maisha yake. Ujinga wa kusema fat shaming ni upuuzi mkubwa tena mambo hayo wanayo sana wanawake.
Kumbuka
Unene ni dhambi, epuka kemea tania. okoa maisha yake.