Unene ni uzembe nakuna sababu nyingi sana zinazopelekea watu kuwa wanene, Lakini je, solution ni ipi?

Unene ni uzembe nakuna sababu nyingi sana zinazopelekea watu kuwa wanene, Lakini je, solution ni ipi?

Wengine huku tulipo, unene wa kupitiliza ni maradhi na wengi wanawekwa kwenye kundi la disabled kwa sababu wengi hawawezi kufanya daily activities na kukaa nyumbani tu
Yaani ni wa kuhurumia sana.
Ila huko nyumbani hawajafikia hapo
 
Asante sana kqa ludhihirisha kuwa wewe ni mnene, siku zote ukiona mtu ana panic kwa jambo ambalo ni facts ujue limemuingia.. Dawa ni moja ndugu fanya mazoezi. Only that. Fanya mazoezi
Wewe mngese nimezaliwa familia ya wanariadha. Toka utotoni ni watu wa mazoezi. Mimi nimeongelea watu wanaozaliwa na unene. Huu ungese wa kufanya tafiti za kimaku ufike mwisho.
 
Wewe mngese nimezaliwa familia ya wanariadha. Toka utotoni ni watu wa mazoezi. Mimi nimeongelea watu wanaozaliwa na unene. Huu ungese wa kufanya tafiti za kimaku ufike mwisho.
COPE HARDER. Cry harder. Unene ni uzembe
 
Kweli unene sio jambo zuri lakini kuwatania na kuwadhalilisha HAPANA, wengine wana hasira akikurukiaa ANAKUSHENYENTAA.

Cha msingi waache kufakamia maugali kama nguruwe!!

Kuleni kiasi tu maji mengi na matunda mengi na mboga za majani kwa wingi!

Unakuta lijitu linafakamia matomato na manyama yaanii ni kichefuchefuu!

Fuateni ushauri wa JANABI.
Obviously kama una akili timamu utafanya kwa unaowaweza, mbona zaman iliwezekana? Kiufupi kusiwe na tolerance ya unene, fanya unavyoweza kwa mabae unamuweza of course ukiwa play stupid games u will get stupid prizes
 
Jamaa huyu ni mpuuzi! Unaachaje kutaja sababu ya Genetics? My wife mke wangu huwa anajaribu kupunguza misosi lakini wapi ndiyo kwanza anazidi kunenepa!
Mwambie akajaribu carnivore diet, nimeshaona imesaidia mijitu minene mingi, otherwise kama ni ki afya nime mention as well but i guess your chosing words to read, yet you get triggered.
 
COPE HARDER. Cry harder. Unene ni uzembe
Wewe ni mtu mpuuzi. Kwa hiyo bullying ndo itaondoa tatizo la unene? Watu kama nyie mnaingiaga kwenye matatizo kwa sababu za kizembe sana. Unadhani katika hao utakaowa-bully wote watakuacha salama?
 
Wewe ni mtu mpuuzi. Kwa hiyo bullying ndo itaondoa tatizo la unene? Watu kama nyie mnaingiaga kwenye matatizo kwa sababu za kizembe sana. Unadhani katika hao utakaowa-bully wote watakuacha salama?
Mpuuzi wewe unaeogopa ku bully mtu kisa utapigwa, again kama una low IQ hakuna haja ya ku comment maana una jiaibisha bure.
 
Back
Top Bottom