Unene ni uzembe nakuna sababu nyingi sana zinazopelekea watu kuwa wanene, Lakini je, solution ni ipi?

Unene ni uzembe nakuna sababu nyingi sana zinazopelekea watu kuwa wanene, Lakini je, solution ni ipi?

Mpuuzi wewe unaeogopa ku bully mtu kisa utapigwa, again kama una low IQ hakuna haja ya ku comment maana una jiaibisha bure.
Kum-bully mtu ndo ujanja kwako? Low IQ anayo mamako kwa kukuzaa mpuuzi kama wewe.
 
Kum-bully mtu ndo ujanja kwako? Low IQ anayo mamako kwa kukuzaa mpuuzi kama wewe.
Cry harder UNENE NI SAWA NA KUNUKA KINYESI. Hautaki basi zaa watoto wafanye wawe mabonge alaf uta enjoy maisha vizuri.
 
Screenshot_20241113_235245_Opera Mini.jpg

Unakumbuka hii...?
 
Mtoa mada yuko sahihi kabisa,unene ni ugonjwa na wanene waliopitiliza wanastahili kufungiwa chumba maalum mpaka pale watakapo pona🙄,Unene na vitambi ni dalili ya ulafi!
 
Jamaa huyu ni mpuuzi! Unaachaje kutaja sababu ya Genetics? My wife mke wangu huwa anajaribu kupunguza misosi lakini wapi ndiyo kwanza anazidi kunenepa!
ipo namna mkuu kama kweli anataka kupungua
 
Sijui majitu yamepatwa na nini? Ukute jitu lenyewe linaloshauri mambo ya afya hata shule halina!
Mbona wanene ndo kama mna emotions sana? Ukweli unauma najua lakin ndo hvyo acha uvivu fanya mazoezi
 
Bullying si tabia mzuri
Kama mmenotice wnaao tetea unene na kusema bully sio nzuri wengi wao ni wanene wakiume na wanawake, nafkr hii inadhihilisha fika kabisa kuwa wanene na wanawake wanaongoza kutoa ushauri mbaya katika jamii, ndio maana hata babu zetu walikua wanawaweka pemben kdgo maana maamuzi yao mengi yana base with emotions.
 
Back
Top Bottom