Unene wa mwili vs Uchafu

Ni kweli lakini wanene wengi wanaongoza kwa uchafu... Ingawa kwa kweli wapo wasafi na hao ndiyo wanaopagawisha kwanza kwa kuwaangalia tu mpaka kuchi kuchi otahheeeee....
 
Hivi wanaume wanene huwa ni wasafi kweli?!! Sikumbuki kupita kwenye anga zao...
 
Ya unaweza kuncoclude hivyo...uwezo wa Mandela ni harakati zake sio uwezo wa akili aliokuwa nao, Chukua mfano Nyerere,Malcom X, Noam Chomsky, na kwa Wazee, (watu wanapozeeka uwezo wao wa kufikiri hupungua pia)
 
Unene ni kama laana yaani kila kitu ni wao uchafu, kuzinzia ovyo, kutoka mijasho, uvivu kitandani basi vurugu tupu
 
Mara nyingi ukweli huwa unauma sana,lakini wakati mwingine mtu anapokuambia kitu chenye ukweli jaribu kufanyia kazi ikiwemo kurekebisha muenendo wako wa maisha,kuna uhusiano mkubwa sana kati ya unene na mtu kuwa mvivu kwa hiyo automatically hapo uchafu unafuatia,sio wote ila walio wengi wako hivyo.
 
Hapa sichangii maana naweza kunyimwa buree na mimi ndiyo ugonjwa wangu ulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…