Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli lakini wanene wengi wanaongoza kwa uchafu... Ingawa kwa kweli wapo wasafi na hao ndiyo wanaopagawisha kwanza kwa kuwaangalia tu mpaka kuchi kuchi otahheeeee....Ama hakika aisifiae mvua lazima tu itakuwa imemnyeshea. Nakuunga mkono japo kwa kiasi fulani kwani kuna hata wembamba wenye matatizo kama hayo, je, nao tusemeje juu yao? Na pia naomba kujua ya kuwa, je, sisi wanaume ktk hili umetuhusisha au umetuogopa?
Kama hatuhusiki basi waombe radhi dada, mademu, wake na mama zetu kwani umewadhalilisha kwa kiasi fulani na sijui ni kwanini vitu vingi negative sisi wanaume huwa tunapenda kuwahusisha. Jamani usiku mwema nyote.
Umemsoma mleta Uzi lakini?
nimemsoma mwanzo mwisho, ila uchafu hauna jinsia
He should have known that before posting this thread
hope he learnt something via our comments