Unene wa mwili vs Uchafu

Unene wa mwili vs Uchafu

Ama hakika aisifiae mvua lazima tu itakuwa imemnyeshea. Nakuunga mkono japo kwa kiasi fulani kwani kuna hata wembamba wenye matatizo kama hayo, je, nao tusemeje juu yao? Na pia naomba kujua ya kuwa, je, sisi wanaume ktk hili umetuhusisha au umetuogopa?

Kama hatuhusiki basi waombe radhi dada, mademu, wake na mama zetu kwani umewadhalilisha kwa kiasi fulani na sijui ni kwanini vitu vingi negative sisi wanaume huwa tunapenda kuwahusisha. Jamani usiku mwema nyote.
Ni kweli lakini wanene wengi wanaongoza kwa uchafu... Ingawa kwa kweli wapo wasafi na hao ndiyo wanaopagawisha kwanza kwa kuwaangalia tu mpaka kuchi kuchi otahheeeee....
 
Hivi wanaume wanene huwa ni wasafi kweli?!! Sikumbuki kupita kwenye anga zao...
 
Ya unaweza kuncoclude hivyo...uwezo wa Mandela ni harakati zake sio uwezo wa akili aliokuwa nao, Chukua mfano Nyerere,Malcom X, Noam Chomsky, na kwa Wazee, (watu wanapozeeka uwezo wao wa kufikiri hupungua pia)
 
Unene ni kama laana yaani kila kitu ni wao uchafu, kuzinzia ovyo, kutoka mijasho, uvivu kitandani basi vurugu tupu
 
Mara nyingi ukweli huwa unauma sana,lakini wakati mwingine mtu anapokuambia kitu chenye ukweli jaribu kufanyia kazi ikiwemo kurekebisha muenendo wako wa maisha,kuna uhusiano mkubwa sana kati ya unene na mtu kuwa mvivu kwa hiyo automatically hapo uchafu unafuatia,sio wote ila walio wengi wako hivyo.
 
Hapa sichangii maana naweza kunyimwa buree na mimi ndiyo ugonjwa wangu ulipo.
 
Back
Top Bottom