Unenepeshaji wa ng'ombe ni fursa

chiziwafursa

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2024
Posts
558
Reaction score
827
1. Unenepeshaji wa ng'ombe
Kipindi cha kiangazi (ukame) ng'ombe huwa zimedhoofika na kusababisha ng'ombe kuuzwa kwa bei ya hasara. Kwa mfano, ukiwa na ng'ombe 5 ambao umewapata kwa 200,000

Jumla ya pesa iliotumika
200,000×5=1,000,000
Makadirio ya matunzo kwa miezi 3 ni 150,000 kwa ng' ombe
150,000×5=750,000
Kama ng'ombe mmoja akiuzwa kwa 800,000a
Jumla
800,000×5=4,000,000
Faida itakayo patikana
4,000,000 -(1,000,000+750,000)= 2,250,000

Faida 2,250,000 tuondoe 250,000kwa matumizi mengine hivyo faida ni 2,000,000

Hii itagemeana na aina ya ng'ombe kama ng'ombe ana mwili mkubwa faida itakuwa kubwa maana anaweza kuuzwa hadi 1M

JAMANI UKAME FURSA

Zingine zinapatikana kwenye kitabu hapo
 

Attachments

Mpaka ununur ng'ombe kwa 200,000 ina maana lazma awe ndama. Wa chini ya miezi 6
Mpaka afike hadhi ya kuuzwa 800,000 ni almost 3-5 months. Hiyo hata awe alidhohofika na njaa.
Haya . 1,000,000 manunuzi.
Chakula chako 750,000 kwa mwezi mara miezi minne tu tuseme ni 3,000,000.
Mfugaji, zizi, usafiri, na chakula cha mfugaji?
Maana hesabu zangu tu tayari faida imeliwa na uendeshaji mradi.
Yaani umepiga hovyo kabisa hesabu zako.
Na nyie wapuuzi huko juu. Mtaendelea kudanganywa na kushindwa kufanya mambo mengi sana maishani kwenu kama jambo dogo kama hili mnaliunga mkono.
Ngoja nijaribu
 
Sawa mkuu
 
Gharama za chanjo mbona sizioni hapo kiongozi
Vipi kuhusu masoko
Gharama za vibali kusafirisha etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…