Unenepeshaji wa ng'ombe ni fursa

Shukrn san
 
Inaonekana mleta maada hukumuelewa
 
Tena 200000 ni Bei kubwa Sana, ufugaji wetu kiwango kikubwa ni wa kutafuta malisho. Kama una eneo Lina maji na ukapanda malisho yako kipindi Cha kiangazi utapiga utapiga pesa nzuri.
Mida hii nipo mnada Fulani nyanda za juu kasazini ,ng"ombe mdogoo anaanzia 350,000.00 huo ni Mkoa gani kwenye ngombe rahisi hivo kiangazi hiki Cha mavuno! Kama unaongelea kipindi ukame ,ni sahihi unaweza kupata ng_ombe hata wa 10,000/=
 
10000 sijawahi kusikia Ila chalinze wanafika 50000 kipindi Cha kiangazi kikali.maeneo mengine ni Kama longido. Nyanda za juu ukame wake sio sawa na hizi sehemu nilizotaja
 
Biashara ina Faida ila kwenye Costing Inabidi ziwe consolidated zote.
1.Uwe na Zizi na Mfanyakazi wa Kuwachunga/Kuzalisha
2.Uwe na network ya Kuwapata ng'ombe toka Kwa wafugaji Kwa bei nafuu (Kiangazi au Wakati wa Kulima.Maeneo ya Kanda ya Ziwa Kilimo kikianza wafugaji wanauza hasa ndama kupata Pembejeo .Usichukue wa mnadani utaangukia pua.
3.Malisho ya Nyongeza:Uwe na Shamba lenye chanzo cha Maji ya Uhakika Mwaka mzima na kuwepo na chanzo cha malisho ya Nyongeza Kwa bei nafuu (Mashudu/Pumba/Nyasi Kavu/Madini)
4.Uwe na Mtaalam wa Mifugo kuwatibi ipasavyo Hao Ng'ombe na bajeti yake iwepo
5.Network ya Soko,usafiri no
6.Vibali vya Serikali nk
 
Kitabu hiking kinauwongo mwingi kuliko uhalisia.Mfano ufugaji wa nyuki ekari Moja unaweka miznha 49 Hadi 100 lakini kitabu kinasema Eka Moja unaweka mizinga 600 kitu ampacho sikweli
 
Kitabu hiking kinauwongo mwingi kuliko uhalisia.Mfano ufugaji wa nyuki ekari Moja unaweka miznha 49 Hadi 100 lakini kitabu kinasema Eka Moja unaweka mizinga 600 kitu ampacho sikweli
Kitabu hicho kuna Sehemu kimeenda mkenge ?🤔🤔🤔
 
10000 sijawahi kusikia Ila chalinze wanafika 50000 kipindi Cha kiangazi kikali.maeneo mengine ni Kama longido. Nyanda za juu ukame wake sio sawa na hizi sehemu nilizotaja
Mwaka juzi maeneo ya Minjingu,na baadhi ya Simanjiro waliunzea 10,000🥴,ila ujue unaanza kumyweshanuji Ndio umbebe kumpakia kwenye gari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…