chiziwafursa
JF-Expert Member
- May 22, 2024
- 558
- 827
- Thread starter
- #21
Hapo mengine nimefanya yapo tiyare mtu anamilikiGharama za chanjo mbona sizioni hapo kiongozi
Vipi kuhusu masoko
Gharama za vibali kusafirisha etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mengine nimefanya yapo tiyare mtu anamilikiGharama za chanjo mbona sizioni hapo kiongozi
Vipi kuhusu masoko
Gharama za vibali kusafirisha etc
Ana miliki soko 🙂Hapo mengine nimefanya yapo tiyare mtu anamiliki
Soko hamna ,, kumbe sijazingatia vingi ila kwa soko bado sijachimba sana maana huwa natafuta mtu ananitafutia watejaAna miliki soko 🙂
Shukrn san1,unenepeshaji wa ng'ombe
Kipindi cha kiangazi (ukame ) ng'ombe huwa zimedhoofika na kusababisha ng'ombe kuuzwa kwa bei ya hasara
Kwa mfano ,,,ukiwa na ng'ombe 5 ambao umewapata kwa 200,000
Jumla ya pesa iliotumika
200,000×5=1,000,000
Makadirio ya matunzo kwa miezi 3 ni 150,000 kwa ng' ombe
150,000×5=750,000
Kama ng'ombe mmoja akiuzwa kwa 800,000a
Jumla
800,000×5=4,000,000
Faida itakayo patikana
4,000,000 -(1,000,000+750,000)= 2,250,000
Faida 2,250,000 tuondoe 250,000kwa matumizi mengine hivyo faida ni 2,000,000
Hii itagemeana na aina ya ng'ombe kama ng'ombe ana mwili mkubwa faida itakuwa kubwa maana anaweza kuuzwa hadi 1M
JAMANI UKAME FURSA
Zingine zinapatikana kwenye kitabu hapo
uchawiSasa kama wewe hapo ungetumia nini 🤔🤔
Hapo lazima.usubiri maafa ya ukame,kama ya mwaka juzi...Ndio utapata n ngombe wa 200,000/Sisemei ndama nasemea ng'ombe katika kiangazi au hujaelewa nikueleweshe zaidi
Inaonekana mleta maada hukumuelewaMpaka ununur ng'ombe kwa 200,000 ina maana lazma awe ndama. Wa chini ya miezi 6
Mpaka afike hadhi ya kuuzwa 800,000 ni almost 3-5 months. Hiyo hata awe alidhohofika na njaa.
Haya . 1,000,000 manunuzi.
Chakula chako 750,000 kwa mwezi mara miezi minne tu tuseme ni 3,000,000.
Mfugaji, zizi, usafiri, na chakula cha mfugaji?
Maana hesabu zangu tu tayari faida imeliwa na uendeshaji mradi.
Yaani umepiga hovyo kabisa hesabu zako.
Na nyie wapuuzi huko juu. Mtaendelea kudanganywa na kushindwa kufanya mambo mengi sana maishani kwenu kama jambo dogo kama hili mnaliunga mkono.
Mkuu uko mkoa gani?Soko hamna ,, kumbe sijazingatia vingi ila kwa soko bado sijachimba sana maana huwa natafuta mtu ananitafutia wateja
Tena 200000 ni Bei kubwa Sana, ufugaji wetu kiwango kikubwa ni wa kutafuta malisho. Kama una eneo Lina maji na ukapanda malisho yako kipindi Cha kiangazi utapiga utapiga pesa nzuri.Sisemei ndama nasemea ng'ombe katika kiangazi au hujaelewa nikueleweshe zaidi
Kagera visiwani hukuMkuu uko mkoa gani?
Mida hii nipo mnada Fulani nyanda za juu kasazini ,ng"ombe mdogoo anaanzia 350,000.00 huo ni Mkoa gani kwenye ngombe rahisi hivo kiangazi hiki Cha mavuno! Kama unaongelea kipindi ukame ,ni sahihi unaweza kupata ng_ombe hata wa 10,000/=Tena 200000 ni Bei kubwa Sana, ufugaji wetu kiwango kikubwa ni wa kutafuta malisho. Kama una eneo Lina maji na ukapanda malisho yako kipindi Cha kiangazi utapiga utapiga pesa nzuri.
10000 sijawahi kusikia Ila chalinze wanafika 50000 kipindi Cha kiangazi kikali.maeneo mengine ni Kama longido. Nyanda za juu ukame wake sio sawa na hizi sehemu nilizotajaMida hii nipo mnada Fulani nyanda za juu kasazini ,ng"ombe mdogoo anaanzia 350,000.00 huo ni Mkoa gani kwenye ngombe rahisi hivo kiangazi hiki Cha mavuno! Kama unaongelea kipindi ukame ,ni sahihi unaweza kupata ng_ombe hata wa 10,000/=
Kitabu hiking kinauwongo mwingi kuliko uhalisia.Mfano ufugaji wa nyuki ekari Moja unaweka miznha 49 Hadi 100 lakini kitabu kinasema Eka Moja unaweka mizinga 600 kitu ampacho sikweli1. Unenepeshaji wa ng'ombe
Kipindi cha kiangazi (ukame) ng'ombe huwa zimedhoofika na kusababisha ng'ombe kuuzwa kwa bei ya hasara. Kwa mfano, ukiwa na ng'ombe 5 ambao umewapata kwa 200,000
Jumla ya pesa iliotumika
200,000×5=1,000,000
Makadirio ya matunzo kwa miezi 3 ni 150,000 kwa ng' ombe
150,000×5=750,000
Kama ng'ombe mmoja akiuzwa kwa 800,000a
Jumla
800,000×5=4,000,000
Faida itakayo patikana
4,000,000 -(1,000,000+750,000)= 2,250,000
Faida 2,250,000 tuondoe 250,000kwa matumizi mengine hivyo faida ni 2,000,000
Hii itagemeana na aina ya ng'ombe kama ng'ombe ana mwili mkubwa faida itakuwa kubwa maana anaweza kuuzwa hadi 1M
JAMANI UKAME FURSA
Zingine zinapatikana kwenye kitabu hapo
Kitabu hicho kuna Sehemu kimeenda mkenge ?🤔🤔🤔Kitabu hiking kinauwongo mwingi kuliko uhalisia.Mfano ufugaji wa nyuki ekari Moja unaweka miznha 49 Hadi 100 lakini kitabu kinasema Eka Moja unaweka mizinga 600 kitu ampacho sikweli
Mwaka juzi maeneo ya Minjingu,na baadhi ya Simanjiro waliunzea 10,000🥴,ila ujue unaanza kumyweshanuji Ndio umbebe kumpakia kwenye gari!10000 sijawahi kusikia Ila chalinze wanafika 50000 kipindi Cha kiangazi kikali.maeneo mengine ni Kama longido. Nyanda za juu ukame wake sio sawa na hizi sehemu nilizotaja