Unga kiroba kilo 25 ni shilingi 42000

Unga kiroba kilo 25 ni shilingi 42000

Mahindi Sasa hivi yanatoka Zambia, Malawi na Msumbiji.Humu ya kwetu yalishauzwa na "Mr.It is very danger"Ila anamdanganya Mama kuwa chakula kipo cga kutosha.
 
Aisee kumbe hata kokwa za fenesi huwa zinaliwa zina ladha kama Viazi mbatata.
 
Nawaza tu kama unga mfuko mmoja wa kilo 25 umefikia shilingi 42000 huku kijijini kwetu, je itakapofika januari itakuaje?

Serikali iliangalie hili gharama ya unga iko juu sana, tutakufa njaa.
Mvua zimeanza kunyesha,chukua jembe kalime mahindi,mwakani hutolalama
 
Mahindi Sasa hivi yanatoka Zambia, Malawi na Msumbiji.Humu ya kwetu yalishauzwa na "Mr.It is very danger"Ila anamdanganya Mama kuwa chakula kipo cga kutosha.
Unafikiri taasisi ya urais unaweza kuidanganya kibwege!?
 
Na mvua za vuli zilikuwa chini ya kiwango kwa mikoa ya Kaskazini na ukanda wa Pwani. Bei inaweza kushuka kama kanda ya ziwa watavuna vizuri.
Tukitoka hapo tuwaheshimu sana wakulima wanapokuwa wapo kazini. Bila wao hakuna cha dar, arusha wala mwanza.
 
Nawaza tu kama unga mfuko mmoja wa kilo 25 umefikia shilingi 42000 huku kijijini kwetu, je itakapofika januari itakuaje?

Serikali iliangalie hili gharama ya unga iko juu sana, tutakufa njaa.
Mama anaupiga mwingi
 
Nawaza tu kama unga mfuko mmoja wa kilo 25 umefikia shilingi 42000 huku kijijini kwetu, je itakapofika januari itakuaje?

Serikali iliangalie hili gharama ya unga iko juu sana, tutakufa njaa.
Upo Kijijini halafu unanunua unga?! You must not be serious. Kijijini kila Kaya Ina stock ya mahindi ghalani wewe upo Kijiji gani?
 
kitaa kuna njaa balaa, call girls wameshusha dau sasa ni bei chee una mwaga
 
Back
Top Bottom