Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mbunge900×25 = 22,500/=
Si ndio hivyo?
Yapo wapi hayo mahindi ya ruzuku watu wakajichotee huko?
Maji mtaita mmaaa maana mumekariri chakula sio ugali na wali tuu.Nawaza tu kama unga mfuko mmoja wa kilo 25 umefikia shilingi 42000 huku kijijini kwetu, je itakapofika januari itakuaje?
Serikali iliangalie hili gharama ya unga iko juu sana, tutakufa njaa.
Mvua zimeanza kunyesha,chukua jembe kalime mahindi,mwakani hutolalamaNawaza tu kama unga mfuko mmoja wa kilo 25 umefikia shilingi 42000 huku kijijini kwetu, je itakapofika januari itakuaje?
Serikali iliangalie hili gharama ya unga iko juu sana, tutakufa njaa.
Unafikiri taasisi ya urais unaweza kuidanganya kibwege!?Mahindi Sasa hivi yanatoka Zambia, Malawi na Msumbiji.Humu ya kwetu yalishauzwa na "Mr.It is very danger"Ila anamdanganya Mama kuwa chakula kipo cga kutosha.
Tukitoka hapo tuwaheshimu sana wakulima wanapokuwa wapo kazini. Bila wao hakuna cha dar, arusha wala mwanza.Na mvua za vuli zilikuwa chini ya kiwango kwa mikoa ya Kaskazini na ukanda wa Pwani. Bei inaweza kushuka kama kanda ya ziwa watavuna vizuri.
Magu nilimpenda kwa majibu mafupi. Mama angeshawajibu tatizo la uchaguzi mwaka 2025Mvua zimeanza kunyesha,chukua jembe kalime mahindi,mwakani hutolalama
Toka hapo kwa shemeji alipoolewa dadako huta coment huu upumbavu tenaMvua zimeanza kunyesha.
Nenda shamba ukalime 'unga wako' mwakani usije kutufokea.
Aika Mushi yako! Wandu warunde kasi, wapate leri. Wawese waleke utondo.....Tafuta hela mkuu, achana na mambo ya kulalamika bei ya unga inapanda
Mama anaupiga mwingiNawaza tu kama unga mfuko mmoja wa kilo 25 umefikia shilingi 42000 huku kijijini kwetu, je itakapofika januari itakuaje?
Serikali iliangalie hili gharama ya unga iko juu sana, tutakufa njaa.
Upo Kijijini halafu unanunua unga?! You must not be serious. Kijijini kila Kaya Ina stock ya mahindi ghalani wewe upo Kijiji gani?Nawaza tu kama unga mfuko mmoja wa kilo 25 umefikia shilingi 42000 huku kijijini kwetu, je itakapofika januari itakuaje?
Serikali iliangalie hili gharama ya unga iko juu sana, tutakufa njaa.
Inadanganywa vizuri tu,Kama watu wanaweza kuiba fedha za serikali kiujanjajanja,inashindikana nini kudanganywa!!!Unafikiri taasisi ya urais unaweza kuidanganya kibwege!?