The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
umejuaje?Sasa atakwenda wakati Yuko eda?
Nimejuaje kwani Kuna mtu asiye jua kuwa kafiwa na mme?umejuaje?
nonsense 🐒Tunajua Deogratious Ndejembi ametangulia New York..
Vipi Samia Suluhu Hassan, The Butcher atakwenda kweli kuungana na wakuu wa nchi na serikali zingine halali duniani kwenye mkutano mkuu wa Baraza la Umoja wa Taifa - UNGA huko New York..?
Atakutana na zahama hii na CNN, BBC, SkyNews, Al Jazeera News, Bloomberg. NDTV nk..
View attachment 3676896View attachment 3676897View attachment 3676898Bi Kizimkazi Samia Suluhu Hassan, karibu NEW YORK..