Unga unamuharibu Albert Mangwea

Unga unamuharibu Albert Mangwea

Kuna tetesi za jamaa wa wasafi.
Kijana apitie hii thread yasije mkuta ya waliotajwa hapa.
 
Habari wana JF,

Leo nilikuwa naangalia EATV kipindi cha Ujenzi.. Daah Mangwea ameharibika kwa kutumia unga wadau kama kuna mtu ameangalia atakubaliana na mimi yani sauti haitoki kama teja.

Chonde chonde, unga nomaaaaaa! Wasanii mnaotumia mapoodaa muigeni Langa..

Nawasilisha..
Rest well Albert
 
Kufuatilia ishu za unga, jiulizeni Amina Chifupa na mumewe wako wapi. Mtoto wa 1981 kawahi kuzimu mapema sana! Kwa upande mwingine ishu hizo muulizeni Langa. Alipata kazi nzuri lakini anakwambia, unga unakufanya uuwaze huohuo ukiwa kokote, na mahali kokote,muda wote,wakati wote! Hukumbuki lingine lolote!
🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Hivi uzinzi,ushoga na madawa ya kulevya ipi zambi kubwa
 
Back
Top Bottom