Ungana na Mimi mwamba aliye muoa Amina wa Tandale, Demu wa Ally Dreva Boda boda

Ungana na Mimi mwamba aliye muoa Amina wa Tandale, Demu wa Ally Dreva Boda boda

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Msomaji ungana na Mimi kumtukana huyu Rich,MWANAUME shababi, mrefu mweusi, aliyejaa mbavu Nene, kijana AMBAE Mungu ameisha mfungulia milango ya riziki mpaka kuweza kumwamisha mama Mkwe kutoka tandale mpaka Mbezi salasala DSM.

Rich, alikuwa na mazoea na Mama Amina, maana mama Amina alikuwa anapita pita mbele ya OFISI ya Rich, na kila akipita lazima amsalimie Rich na rich kwa sababu ya utanashati wake, alikuwa akimsalimia kwa cheo cha mama Mkwe.

Moja ya siku hisiyo na jina Mama Amina akaamua kupitia OFISI za rich akiwa na Amina(makusudi kabisa)

Uku na uku, richi kumwona Amina alipagawa akajikuta anamtakia Mama Mkwe, naomba uniunganishe na Binti Amina.

Mama Amina alipo PATA TAARIFA Ile OFISI ilikuwa ya Rich chapu akafanya hivyo, wakati akifanya hivyo alikuwa alijua bayana Amina ni mpenzi wa Ally, dreva Boda boda na alikuwa tayari na ujauzito WA mwezi mmoja.


Ili kumficha rich mama Amina hakuta hata mahali kubwa yeye alitaka mwanae aolewe na tajiri rich paspo kujali yakuwa Amina alikuwa amekolezwa na Ally dreva Boda wa Tandale.

Basi Amina alifunga pingu za maisha na bilionea rich, life likasonga mtoto wa Ally akazaliwa,rich akijua ni wake

Mtoto angel amelelewa vizuri na Baba wa bandia fresh tu,
Ikafikia wakati Amina anataka mtoto wa pili na HATAKI kuchanganya damu ikabidi amtafute mpenzi wa roho yake Ally wapge shoo wapate wa pili .

Je waujua msemo usemao ndani ya ndoa ZENU Kuna watoto wetu?mwangalie mkeo gonga kifua mmnywee konyagi nenda kamsugue LASIVYO usilalamike, (mpige kidole kila PAHALA asikie Raha nyoko wewe).

Basi Amina akamcheki Ally, Ally bira hiyana akamtuma Rafiki yake yake anaitwa didooo, akambeba Amina pale africana akampeleka kwa Ally, Ally kama kawa akalalua mzigo mithili ya chura(ushawai ona chura akiwa anagegendwa au kugegeda wewe)?

Yaliyofatia hapo ni stori Amina alidaka mimba ya pili ya Christopher, zingatia majina linatoka boya rich.

Ndani ya miezi miwili baada ya Amina kujifungua Chris, Ally alipata ajari iliyopelekea Ally KUPOTEZA mfuko wa kuifadhia Manii( yaani shahawa) na kuksababisha hasiweze kutungisha mimba tena(laauara!) najua unae soma hapa utaisi Ally amekuwa ***** Sasa, hapana mashine unasimama vizuri ILA kutungisha mimba ndo ngumu.

Amina alimuuguza Ally, Sanaa kwa kuchukua pesa kutoka kwa rich na kupelekea Ally kupitia zuu wa Tandale(shoga ake huyu kidawa).

MWISHO kabisa baada ya Amina kuona Ally haponi, aliamua kukata mawasiliano kabisa akijua yakuwa utamu WA Ally umeisha, na hata uwezo wa kutunza watoto Hana maana aloumia sana akakata mawasiliano kabisa

Laura! Ally Leo kaibukia kwa king Ivan one seveni mambo yamewekwa hadharani Richi amejua kupitia mkewe, Mama Mkwe wake, shemeji yake na shoga WA Amina yakuwa watoto wote wawili sio wake, ghafla alidondoka na kuzimia

Kumbuka,rich anamsomesha Mdogo WA Amina chuo kikuu, Amempangia mama Mkwe nyumba nzuri, amempa mtaji.wa.biashara,

Lakini Bado Amina alienda kurafunwa na Mwendesha Boda boda wa Tandale Ally.

Alaaaamsiki
 
Hiyo yote kujipoza na hasara za simba mbovu

USSR
 
Duh itakuwa nimevamia kambi maana sijaelewa chochote, nadhani ni code
 
Back
Top Bottom