Mwizi baada ya kusomewa mashtaka ya kuiba simu akaambiwa ajitete:
Hakimu:"Toa utetezi wako kwa nini uliiba simu?"
Mshtakiwa:"Nilikuwa napita zangu nikasikia simu inaita 'NIBEBE NIBEBE NICHUKUE UNIBEBE
MIKONONI MWAKO NIWE SALAMA' mheshimiwa mi nikaichukua!!"

Pata vichekesho zaidi hapa
SWAHILI SMS