UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA MAAMUZI GANI..

UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA MAAMUZI GANI..

Huu Ni uongo!!
Hata kama gari limeharibika, haiwezekani likawa halijatengenezwa kwa muda wote huo wa wiki tatu!!
Ofisi gani hiyo inashindwa kuwarejesha wafanyakazi wake wakiwa wamepatwa Na matatizo
Yani hata mi nashangaa alafu mwanamke hataki kurudi
 
Marehemu alikua hana ndugu hadi asafirishwe na wafanyakazi wenzie peke yao kadiri ya maelezo yako..?? Ninyi ni wafanyakazi ama ni vibarua ktk hiyo ofisi..? Kwamba uwepo usiwepo sawa tu..............Ungesema tu hii ni riwaya kama za akina Ngoswe... (tusingekuchapa)

..............Anyway ndo mana Tahakiki zipo................

Kuhusu rafiki yako, mwambie huu ndo muda mwafaka wa kunoa makofi, akifika tu mkewe amweke vitu hadi ajitambue kua yeye ni mke wa mtu
Sio riwaya ndugu hii ni kweli kabisa ila mi nadhani huyu mwanamke kuna namna tu si bure
 
Kama walikwenda Sumbawanga inawezekana wameshakuwa misukule hao. Wiki tatu gari gani hio isiotengezeka?[emoji15] Hio ajira bado inawasubiri tu muda wote huo?[emoji15]
Kwanini hio kampuni yenu isipeleke nauli au hela ya matengenezo ya hio gari?[emoji15] maswali ni mengi sana hata mpaka usaidi kutoa ushauri hapa.



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sio kampuni binafsi ni serikalini ndugu ila wanasema imeharibika injini wamepeleka gereji
 
Uongo ni kwamba hao wawili kushindwa kurudi kwa njia nyingine wanasubiria gari la ofisi. Hio alipaswa kuachiwa deree pekeyake

Lakini sio uongo kwamba gari haiwezi kukaa wiki 3 wakisubiria spea. Unless wewe sio dereva wa haya machuma

Cc Thegame
 
Hujamshauri vibaya mkuu,amfuate huko huko ajue kinaga ubaga
 
Menejiment imechukua hatua gani kuwasaidia? Week 3! Mmmh haingii akilini.
 
Back
Top Bottom