Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
- Thread starter
- #21
Yani hata mi nashangaa alafu mwanamke hataki kurudiHuu Ni uongo!!
Hata kama gari limeharibika, haiwezekani likawa halijatengenezwa kwa muda wote huo wa wiki tatu!!
Ofisi gani hiyo inashindwa kuwarejesha wafanyakazi wake wakiwa wamepatwa Na matatizo