UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA MAAMUZI GANI..

Huu Ni uongo!!
Hata kama gari limeharibika, haiwezekani likawa halijatengenezwa kwa muda wote huo wa wiki tatu!!
Ofisi gani hiyo inashindwa kuwarejesha wafanyakazi wake wakiwa wamepatwa Na matatizo
Yani hata mi nashangaa alafu mwanamke hataki kurudi
 
Sio riwaya ndugu hii ni kweli kabisa ila mi nadhani huyu mwanamke kuna namna tu si bure
 
Sio kampuni binafsi ni serikalini ndugu ila wanasema imeharibika injini wamepeleka gereji
 
Uongo ni kwamba hao wawili kushindwa kurudi kwa njia nyingine wanasubiria gari la ofisi. Hio alipaswa kuachiwa deree pekeyake

Lakini sio uongo kwamba gari haiwezi kukaa wiki 3 wakisubiria spea. Unless wewe sio dereva wa haya machuma

Cc Thegame
 
Hujamshauri vibaya mkuu,amfuate huko huko ajue kinaga ubaga
 
Menejiment imechukua hatua gani kuwasaidia? Week 3! Mmmh haingii akilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…