Ungekuwa wewe ungefanyaje

Ungekuwa wewe ungefanyaje

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Kuna work mate ana mtoto sasa kwao mbali kwaiyo anashinda kwangu Mimi nipo karibu na eneo LA kazi anafika na binti anawaacha kwangu mtoto na binti kiroho safii nawaachiaga funguo ya room wanatumia jiko langu LA gesi kuchemsha chai,maji ya kuoga mtoto pia kila siku, sukari ndo wanategemea yangu iyo iyo work mate, Dada wa kazi jamani ata siku moja waseme tutachangia sukari?

Ikiisha wanasubir nitie nyingin nipo kama nalea familia,sasa hapa Nina kasafari vitu vyote nimeamisha nimeacha chumba tu sasa nawaza kunifikilia vibaya naona kama atanisengenya kwanini sijamwachia funguo kama nasafiri
 
Ukiwaza ya walimwengu hutokuja kukaa ukafanya yako.

Kuna wakati katika maisha ni sawa kabisa kusema HAPANA.

Hulka ya binadamu ni kuongea, ukimsaidia atajitapa pembeni kuwa wewe ni boya na ukimtosa pia atazungumza kuwa una roho mbaya.

Chaguo ni lako, kuwa boya unaelea vya wenzio ama kuwa mwenye roho mbaya ambae gesi wala sukari yake havimalizwi.
 
Kuna work mate ana mtoto sasa kwao mbali kwaiyo anashinda kwangu Mimi nipo karibu na eneo LA kazi anafika na binti anawaacha kwangu mtoto na binti kiroho safii nawaachiaga funguo ya room wanatumia jiko langu LA gesi kuchemsha chai,maji ya kuoga mtoto pia kila siku, sukari ndo wanategemea yangu iyo iyo work mate,Dada wa kazi jamani ata siku moja waseme tutachangia sukari? Ikiisha wanasubir nitie nyingin nipo kama nalea familia,sasa hapa Nina kasafari vitu vyote nimeamisha nimeacha chumba tu sasa nawaza kunifikilia vibaya naona kama atanisengenya kwanini sijamwachia funguo kama nasafiri
Naona kama ungemwambia achangie ila sbb umeshaenda safari yako acha kuwaza since hata hakikusengenya hakuna athari utakazo
 
Kuna work mate ana mtoto sasa kwao mbali kwaiyo anashinda kwangu Mimi nipo karibu na eneo LA kazi anafika na binti anawaacha kwangu mtoto na binti kiroho safii nawaachiaga funguo ya room wanatumia jiko langu LA gesi kuchemsha chai,maji ya kuoga mtoto pia kila siku, sukari ndo wanategemea yangu iyo iyo work mate,Dada wa kazi jamani ata siku moja waseme tutachangia sukari? Ikiisha wanasubir nitie nyingin nipo kama nalea familia,sasa hapa Nina kasafari vitu vyote nimeamisha nimeacha chumba tu sasa nawaza kunifikilia vibaya naona kama atanisengenya kwanini sijamwachia funguo kama nasafiri
Muoe tu ijulikane moja.
 
Wengine Huwa na akili hadi vitu vikiisha piga kimya vikiisha.
Usiwe na upendo wa msumaa.
 
Aache uchoyo, kesho atazidiwa wa kwanza kumsaidia huyo huyo mfanyakazi mwenzake.
Km anaona anajiumiza si amwambie tuchangiane sukari, shida iko wapi?
Sema huyu mchoyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema inauma[emoji16][emoji16][emoji1787]
 
Usikubali kuwa doormat, wewe mwambie ukweli kistaarabu.
Communication and Compromisation.
 
Kama ana uwezo kiuchumi akupige tafu kwa vitu vidogo vidogo ila kama umeshamsoma kimtindo ana hali ngumu Sana msaidie huwezi jua anapitia hali gani msaidie sukari, maji na gesi sidhani kama vitakupunguzia sehemu kubwa Kiasi hicho labda kama kuna vingn nje na hayo mahitaji
 
Back
Top Bottom