Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kama umeamua kuwasaidia kwa moyo, Wasaidie bila kunung'unika...utapata baraka za huyo mtotoKuna work mate ana mtoto sasa kwao mbali kwaiyo anashinda kwangu Mimi nipo karibu na eneo LA kazi anafika na binti anawaacha kwangu mtoto na binti kiroho safii nawaachiaga funguo ya room wanatumia jiko langu LA gesi kuchemsha chai,maji ya kuoga mtoto pia kila siku, sukari ndo wanategemea yangu iyo iyo work mate, Dada wa kazi jamani ata siku moja waseme tutachangia sukari?
Ikiisha wanasubir nitie nyingin nipo kama nalea familia,sasa hapa Nina kasafari vitu vyote nimeamisha nimeacha chumba tu sasa nawaza kunifikilia vibaya naona kama atanisengenya kwanini sijamwachia funguo kama nasafiri
Ila kama unaona wamekuwa mzigo mwambie huyo Work mate ajiongeze