cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Naona kama ungemwambia achangie ila sbb umeshaenda safari yako acha kuwaza since hata hakikusengenya hakuna athari utakazoKuna work mate ana mtoto sasa kwao mbali kwaiyo anashinda kwangu Mimi nipo karibu na eneo LA kazi anafika na binti anawaacha kwangu mtoto na binti kiroho safii nawaachiaga funguo ya room wanatumia jiko langu LA gesi kuchemsha chai,maji ya kuoga mtoto pia kila siku, sukari ndo wanategemea yangu iyo iyo work mate,Dada wa kazi jamani ata siku moja waseme tutachangia sukari? Ikiisha wanasubir nitie nyingin nipo kama nalea familia,sasa hapa Nina kasafari vitu vyote nimeamisha nimeacha chumba tu sasa nawaza kunifikilia vibaya naona kama atanisengenya kwanini sijamwachia funguo kama nasafiri
Usigongelee msumari, mpe maujuzi.Roho mbaya haijengi, ona mpk nafsi yako inakusuta kwa ulichokifanya [emoji23][emoji23]
Muoe tu ijulikane moja.Kuna work mate ana mtoto sasa kwao mbali kwaiyo anashinda kwangu Mimi nipo karibu na eneo LA kazi anafika na binti anawaacha kwangu mtoto na binti kiroho safii nawaachiaga funguo ya room wanatumia jiko langu LA gesi kuchemsha chai,maji ya kuoga mtoto pia kila siku, sukari ndo wanategemea yangu iyo iyo work mate,Dada wa kazi jamani ata siku moja waseme tutachangia sukari? Ikiisha wanasubir nitie nyingin nipo kama nalea familia,sasa hapa Nina kasafari vitu vyote nimeamisha nimeacha chumba tu sasa nawaza kunifikilia vibaya naona kama atanisengenya kwanini sijamwachia funguo kama nasafiri
Aache uchoyo, kesho atazidiwa wa kwanza kumsaidia huyo huyo mfanyakazi mwenzake.Usigongelee msumari, mpe maujuzi.
Sema inauma[emoji16][emoji16][emoji1787]Aache uchoyo, kesho atazidiwa wa kwanza kumsaidia huyo huyo mfanyakazi mwenzake.
Km anaona anajiumiza si amwambie tuchangiane sukari, shida iko wapi?
Sema huyu mchoyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema inauma[emoji16][emoji16][emoji1787]Aache uchoyo, kesho atazidiwa wa kwanza kumsaidia huyo huyo mfanyakazi mwenzake.
Km anaona anajiumiza si amwambie tuchangiane sukari, shida iko wapi?
Sema huyu mchoyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa si amwambie kuliko kufanya vituko vya kufungia vitu ndaniSema inauma[emoji16][emoji16][emoji1787]