Ungekuwa wewe ungefanyaje

Kama umeamua kuwasaidia kwa moyo, Wasaidie bila kunung'unika...utapata baraka za huyo mtoto

Ila kama unaona wamekuwa mzigo mwambie huyo Work mate ajiongeze
 
Sasa unaondoka si uviache watumie vikiisha uone kama watapiga simu???

Nilichokifunza watu wachoyo ndio Huwa mnaletewa watu wenye matatizo ktk maisha yenu Ili roho mbaya yenu iwanyooshe mkome.
 
Mwambie mwenyewe bila chenga sisi humu hatumjui
 
😂😂Kuna watu hawana haya duuh pole
 
Kama uwezo unao endelea tu kuwasaidia,huyo mtoto mdogo atakuja tu kukukujali tu huko siku za mbeleni,wema hauozi,tenda wema usingoje shukurani,ila usaidie kwa moyo safi bila kinyongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…