Ungekuwa wewe ungefanyaje??

Ungekuwa wewe ungefanyaje??

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,947
Reaction score
4,470
Amekua muda mrefu akihisi mke wake anamuibia kwa kutembea nje yandoa. Akaamua aandae safari feki na kurudi ghafla bila mkewe kutarajia. Akarudi na Taxi usiku wa manane na aliamua dreva Taxi aweshahidi, akamlipa 100,000 ili waende wote kufumania. Akanyanyua Bastola, wakanyatia ndani mpaka chumba chakulala, akaingia yeye na dereva taxi kwa kupanda kwa kamba,akawasha taa na dreva akafunua blanketi alilojifunikia mke wake....wapo wawili!Mke wa jamaa yu kitandani na mwanaume mwingine!!!Jamaa akaweka bastola kichwani kwa yule mwanaume mgoni wake, ghafla mke wake akapaza sauti, “Usimuue!Huyu bwana ametusaidia sana! Nlikudanganya niliposema nimerithi fedha. Ni yeye alinunua lile LandCruiser VX niliyokununulia, alilipia hii nyumba tunayomiliki sasa, alinipa zile pesa tulikuwa tunadaiwa na benki na analipia tiketi zetu zotetunavyoendaga maonyesho. Ndiye pia anayelipia ada za watoto wetu, hata hiyo suti uliyovaa na nyingine. Pia analipa kodi zetu za kilamwezi!”Huku akiyumbayumba kwa kutoamini, MME AKASHUSHA BASTOLACHINI, akamtazama dereva, akamuuliza, UNGEFANYA NINI UNGEKUWA NI WEWE? Dreva Taxi akamwambia; “Mfunike bwana, mfunike na hilo blanketi kabla hajasikia baridi”
 
UNGEFANYA NINI UNGEKUWA NI WEWE? Dreva Taxi akamwambia; “Mfunike bwana, mfunike na hilo blanketi kabla hajasikia baridi”

HA HA HA! TE! TE! Turizike na tulichonacho.
 
Mbona hamtoi comment jamani utafanyaje?
 
haha ha! Ushakula vyote hivyo, huko mtaani kifua mbele na VX!! Unamsamehe tu and life goes on. Otherwise bwaga manyanga mamsapu aendelee kuvinjari.
 
Fidel hivi kuna mwanaume anayekubali kudhalilishwa na kufanywa bweg.e kwa sababu hana kitu?
Mimi sidhani kama ningekuwa mwanaume ningekubali labda kama na labda kama tu tulipanga tokea mwanzo tukakubaliana kuwa wifey nenda au mkubali jamaa tuchume but amenificha then nilipomkamata ndo ananiambia habari za VX ah nakuachia VX lako na chini ya funguo za gari talaka yako.
 
ningemwacha tu mke aendelee na huyo jamaa bwana, mi ningeondoka for good!
Mapenzi ya kweli si mali.
 
Hilo limjamaa halina tiGo? Mpwa unataka komenti gani zaidi ya hii?
kwani hilo jamaa lilitoa hivyo vitu kwa maandishi? unaji-express na unarecord, then blackmail kwa kwenda mbele.......alete mihela a kutosha ndo udistroy tape.
 
Fidel hivi kuna mwanaume anayekubali kudhalilishwa na kufanywa bweg.e kwa sababu hana kitu?
.

Hahahaha MJ1 usicheze na maisha wewe wapo wengi tu mbona kuna waume za watu nao wanalelewa na wanawake wenye fedha zao na mwanamke ana nywea....
 
Amekua muda mrefu akihisi mke wake anamuibia kwa kutembea nje yandoa. Akaamua aandae safari feki na kurudi ghafla bila mkewe kutarajia. Akarudi na Taxi usiku wa manane na aliamua dreva Taxi aweshahidi, akamlipa 100,000 ili waende wote kufumania. Akanyanyua Bastola, wakanyatia ndani mpaka chumba chakulala, akaingia yeye na dereva taxi kwa kupanda kwa kamba,akawasha taa na dreva akafunua blanketi alilojifunikia mke wake....wapo wawili!Mke wa jamaa yu kitandani na mwanaume mwingine!!!Jamaa akaweka bastola kichwani kwa yule mwanaume mgoni wake, ghafla mke wake akapaza sauti, “Usimuue!Huyu bwana ametusaidia sana! Nlikudanganya niliposema nimerithi fedha. Ni yeye alinunua lile LandCruiser VX niliyokununulia, alilipia hii nyumba tunayomiliki sasa, alinipa zile pesa tulikuwa tunadaiwa na benki na analipia tiketi zetu zotetunavyoendaga maonyesho. Ndiye pia anayelipia ada za watoto wetu, hata hiyo suti uliyovaa na nyingine. Pia analipa kodi zetu za kilamwezi!”Huku akiyumbayumba kwa kutoamini, MME AKASHUSHA BASTOLACHINI, akamtazama dereva, akamuuliza, UNGEFANYA NINI UNGEKUWA NI WEWE? Dreva Taxi akamwambia; “Mfunike bwana, mfunike na hilo blanketi kabla hajasikia baridi”

Fidel una mambo...hii ungeiweka kule kwa vituko na jokes.... nimecheka we!!!!!!!
 
kwani wakati unapewa vx, suti nyumba pesa za matumizi we ukija unakula tu hujui umeme na maji vinalipwaje wala ada ya watoto ulikuwa unadhani vinashushwa kama mana kutoka mbinguni hii ndio dawa ya wanaume wasiojua responsibility zao kwenye familia,
Cha msingi alitakiwa awekeane ratiba na huyo mshkaji, kwa wiki kulala na wifey, kwishney
 
Kuna wanaume wengi sana siku hizi hawako responsible na family zao ndio haya yanawakuta, be responsible and you will know every thing, duhhh hi kali.
 
kwa hiyo hapo jamaa alimwacha wife aendelee kubanjuliwa .na lijamaa kwa raha zake ..kua uyaone
 
Back
Top Bottom