Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mzee Juma alikuwa amekaa nje ya nyumba yake asubuhi anakunywa pombe.
Mudi jirani yake anapita na kumuuliza, "Juma, kwa nini umekaa hapo asubuhi yote hii ukinywa pombe?"
Juma: Kuna baadhi ya mambo hayawezi kuelezeka.
Mudi: Kwa hiyo nini kilichotokea ambacho ni kibaya sana?
Juma: Ngoja nikuambie, kama unataka kujua, leo nilikuwa nimekaa namkamua ng"ombe wangu maziwa.
Nilipokuwa na karibia kujaza ndoo, alirusha mguu wake wa kushoto na kumwaga maziwa yote.
Mudi: Mbona sio mbaya sana, nini shida kubwa?
Juma: Kuna baadhi ya mambo hayaelezeki.
Mudi: Kaa hiyo nini kilitokea baadaye?
Juma: Nilichukua mguu wake wa kushoto na kuufunga kwenye nguzo upande wa kushoto kwa kamba.
Kisha nikakaa na kuendelea kukamua maziwa. Nilipokuwa na karibia kujaza ndoo, alirusha mguu wake wa kulia na kumwaga ndoo yote ya maziwa.
Mudi: Tena?
Juma: Nakuambia kuna baadhi ya mambo hayaelezeki..
Mudi: Kwa hiyo ulifanya nini?
Juma: Nikachukua mguu wake wa kulia na kuufunga kwenye nguzo upande wa kulia.
Mudi: Baada ya hapo ulifanya nini?
Juma: Nikakaa tena na kuendelea kukamua maziwa. Nilipokuwa karibia kujaza ndoo, ng'ombe mjinga akadondosha ndoo kwa mkia wake.
Mudi: Aisee, hapo lazima ulikuwa na hasira.
Juma: Yaani kuna baadhi ya mambo huwa hayaelezeki.
Mudi: Kwa hiyo ukaamua kufanya nini?
Juma: Nilikuwa sina kamba tena, kwa hiyo nilivua mkanda wangu na kufunga mkia wake kwenye nguzo. Wakati huo huo, suruali yangu ilianguka chini na mke wangu akaingia.
I mean no malice to nobody