Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #21
Nenda pale rombo au kariakoo, Kuna semi zita kubeba faster😂😀🤒🤣 🤣 🤣 ndiyo home uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda pale rombo au kariakoo, Kuna semi zita kubeba faster😂😀🤒🤣 🤣 🤣 ndiyo home uko
hazipiti kule tatizoNenda pale rombo au kariakoo, Kuna semi zita kubeba faster😂😀🤒
Hiyo video ninayo ila huyo mzee sio mbongo ni raia wa indiaMzee Juma alikuwa amekaa nje ya nyumba yake asubuhi anakunywa pombe.
Mudi jirani yake anapita na kumuuliza, "Juma, kwa nini umekaa hapo asubuhi yote hii ukinywa pombe?"
Juma: Kuna baadhi ya mambo hayawezi kuelezeka.
Mudi: Kwa hiyo nini kilichotokea ambacho ni kibaya sana?
Juma: Ngoja nikuambie, kama unataka kujua, leo nilikuwa nimekaa namkamua ng"ombe wangu maziwa.
Nilipokuwa na karibia kujaza ndoo, alirusha mguu wake wa kushoto na kumwaga maziwa yote.
Mudi: Mbona sio mbaya sana, nini shida kubwa?
Juma: Kuna baadhi ya mambo hayaelezeki.
Mudi: Kaa hiyo nini kilitokea baadaye?
Juma: Nilichukua mguu wake wa kushoto na kuufunga kwenye nguzo upande wa kushoto kwa kamba.
Kisha nikakaa na kuendelea kukamua maziwa. Nilipokuwa na karibia kujaza ndoo, alirusha mguu wake wa kulia na kumwaga ndoo yote ya maziwa.
Mudi: Tena?
Juma: Nakuambia kuna baadhi ya mambo hayaelezeki..
Mudi: Kwa hiyo ulifanya nini?
Juma: Nikachukua mguu wake wa kulia na kuufunga kwenye nguzo upande wa kulia.
Mudi: Baada ya hapo ulifanya nini?
Juma: Nikakaa tena na kuendelea kukamua maziwa. Nilipokuwa karibia kujaza ndoo, ng'ombe mjinga akadondosha ndoo kwa mkia wake.
Mudi: Aisee, hapo lazima ulikuwa na hasira.
Juma: Yaani kuna baadhi ya mambo huwa hayaelezeki.
Mudi: Kwa hiyo ukaamua kufanya nini?
Juma: Nilikuwa sina kamba tena, kwa hiyo nilivua mkanda wangu na kufunga mkia wake kwenye nguzo. Wakati huo huo, suruali yangu ilianguka chini na mke wangu akaingia.
I mean no malice to nobody
View attachment 2879617
Zipo zinazo fika kijana, unge kuwa serieous.hazipiti kule tatizo
alaf zile zitafika saa 4 usiku
UPG chap
Hahaha😂😀😀, uko poa lakini?Ninyamaze tu.🤣
Kama wamezidisha mambo ya ajabu wakimbie .
Oh yes,niko safi kabisaHahaha😂😀😀, uko poa lakini?
Familia niliyo toka, wako gud.Oh yes,niko safi kabisa
I hope uko salama na family pia.
Naaam,siku njema.Familia niliyo toka, wako gud.
👉Nami niko mzuka
Kwako pia, Mr sarcasterNaaam,siku njema.
🤣🤣atadata msimpe skanka mkuuOya fundi bishoo huyu dogo ana tumia skanka ehh🙄🤒
Majanga tu😀😂[emoji1787][emoji23][emoji16]
Kabisa Leo got umeicheki kakaMajanga tu[emoji3][emoji23]
Niko season 5, ep 1, afu uje uni tumie subtitles za season 6 na 7.Kabisa Leo got umeicheki kaka
Story za kijinga hizo kwa ajili ya wajinga.Mzee Juma alikuwa amekaa nje ya nyumba yake asubuhi anakunywa pombe.
Mudi jirani yake anapita na kumuuliza, "Juma, kwa nini umekaa hapo asubuhi yote hii ukinywa pombe?"
Juma: Kuna baadhi ya mambo hayawezi kuelezeka.
Mudi: Kwa hiyo nini kilichotokea ambacho ni kibaya sana?
Juma: Ngoja nikuambie, kama unataka kujua, leo nilikuwa nimekaa namkamua ng"ombe wangu maziwa.
Nilipokuwa na karibia kujaza ndoo, alirusha mguu wake wa kushoto na kumwaga maziwa yote.
Mudi: Mbona sio mbaya sana, nini shida kubwa?
Juma: Kuna baadhi ya mambo hayaelezeki.
Mudi: Kaa hiyo nini kilitokea baadaye?
Juma: Nilichukua mguu wake wa kushoto na kuufunga kwenye nguzo upande wa kushoto kwa kamba.
Kisha nikakaa na kuendelea kukamua maziwa. Nilipokuwa na karibia kujaza ndoo, alirusha mguu wake wa kulia na kumwaga ndoo yote ya maziwa.
Mudi: Tena?
Juma: Nakuambia kuna baadhi ya mambo hayaelezeki..
Mudi: Kwa hiyo ulifanya nini?
Juma: Nikachukua mguu wake wa kulia na kuufunga kwenye nguzo upande wa kulia.
Mudi: Baada ya hapo ulifanya nini?
Juma: Nikakaa tena na kuendelea kukamua maziwa. Nilipokuwa karibia kujaza ndoo, ng'ombe mjinga akadondosha ndoo kwa mkia wake.
Mudi: Aisee, hapo lazima ulikuwa na hasira.
Juma: Yaani kuna baadhi ya mambo huwa hayaelezeki.
Mudi: Kwa hiyo ukaamua kufanya nini?
Juma: Nilikuwa sina kamba tena, kwa hiyo nilivua mkanda wangu na kufunga mkia wake kwenye nguzo. Wakati huo huo, suruali yangu ilianguka chini na mke wangu akaingia.
I mean no malice to nobody
View attachment 2879609
We mwenyewe mjinga tu, kenge waheed mkubwa.Story za kijinga hizo kwa ajili ya wajinga.
😂🤣😁Majanga tu😀😂
Niko season 5, ep 1, afu uje uni tumie subtitles za season 6 na 7.
subdl.com