Kama umegundua mumeo mlafi ana wanawake wengi na bado ukavumilia kwa kigezo cha ndoa ni uvumilivu ila unakuja kugundua mumeo ni bingwa wa kutoa siri za ndani tena anaziongezea chumvi mwanaume wa hivi unamfanyaje?
Mmmh huyo tena sii mwanaume !! Unampeleka kwa Mabingwa kumtibu ....Give him Medical-Care wengi hutibika.Kama umegundua mumeo mlafi ana wanawake wengi na bado ukavumilia kwa kigezo cha ndoa ni uvumilivu ila unakuja kugundua mumeo ni bingwa wa kutoa siri za ndani tena anaziongezea chumvi mwanaume wa hivi unamfanyaje?
Mvumilivu hula mbivu,
Lakini asipokuwa makini hula zilizooza
Bazazi
Njoo kwangu upate tulizo la moyo wako, I mean niko tayari kukupa counseling!Kama umegundua mumeo mlafi ana wanawake wengi na bado ukavumilia kwa kigezo cha ndoa ni uvumilivu ila unakuja kugundua mumeo ni bingwa wa kutoa siri za ndani tena anaziongezea chumvi mwanaume wa hivi unamfanyaje?